UDSM mbona mnatugeuza mradi?

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Mwanzo mlisema hela ya kukodi joho ni tsh. 42,000 { sijajua mmetumia vigezo gani}, kabla ya hili halijaisha wamekuja na sh. 5000 ambayo hawakuisema mwanzon, wanadai ya mhur na TRA. Hivi kuvaa joho pekee nitumie 47,000 kwa lipi hasa? Tafuten pesa lakin si kwa stahil hii.
 
kaka sio lazima uvae joho ndo uonekane ume graduate!!!! What matters umehitimu na jina lako litasomwa kwenye orodha ya wale wanaopaswa kutunukiwa degree. Kama unataka kuuza sura kazi kwako inabidi 47000 zikutoke, otherwise inabidi upotezee, hapo bado gharama ya Nauli kukutoa Kigoma na kukurudisha.
 
Acha ubahili we dogo, kama unaweza shona lako na uendenalo tuone kama watakutimua. halafu mwakani utawakodishia wengine.
 
kaka sio lazima uvae joho ndo uonekane ume graduate!!!! What matters umehitimu na jina lako litasomwa kwenye orodha ya wale wanaopaswa kutunukiwa degree. Kama unataka kuuza sura kazi kwako inabidi 47000 zikutoke, otherwise inabidi upotezee, hapo bado gharama ya Nauli kukutoa Kigoma na kukurudisha.

umenena mkuu, hilo joho lingekuwa linaongeza GPA labda
 
Lakini kuna kiasi cha fedha hapo utarudishiwa iwapo utalirudisha joho likiwa salama!
 
wanarudisha buku kumi,na si kirahis rahis,graduation mother**** 50 thousand?? Si fanyi, na nina enjoy 2!kudadek mkandara bwn! Hela hela hela,kwenden kule! Udsm mmh!
 
wizi umezidi ni aibu sana kwa institution kubwa kama hiyo kushindwa kutoa mchanganuo wa fedha.hapa ni kuwa nyanyasa watoto wa masikini natoka bukoba nauli..............................+gest............................+joho.........................................+sina ajira...........................nimetengwa na nchi yangu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom