Superintendent kimura
JF-Expert Member
- Feb 24, 2023
- 522
- 1,926
HILI NALO NITALITAZAMA KUHAKIKISHA KILA JAMBO LINAKAA SAWAwasaalam
tarehe 02/05/2026 pale UDSM yombo 4 kulikuwa na zoezi la kufanya written interview kwenye kada mbalimbali lakini cha ajabu mpaka leo tarehe 06/05/2026 hawajatoa majibu ya usaili huo kama wanafovofanya taasisi zingine ambapo majibu hutoka na kutaganzwa kupitia tovoyi rasimi ya secretariet ya ajira (Public Service Recruitment Secretariat | PSRS ) badala yake wameita watu kimya kimya kupitia akaunti za wasailiwa ajira portal
kuna uwezekano mkubwa sana ajira hizo zilikuwa za connections au rushwa mpaka kushindwa hutangaza matokeo kwa umma kila msailiwa akajua alichopata
Tunahisi huwa wanatania.Wanaposemaga “Only shortlisted candidates will be contacted..” uwa hupaelewi au unahisi wanamaanishaga nini
[emoji23][emoji23][emoji23]Yudizimu mnalalamikiwa huku na msomi wenu mliyemfundisha asiyejua hata anachokilalamikia
[emoji23][emoji23][emoji23]Hawa ndio wanafanya Alumnus wa chuo pendwa waonekane hamna kitu! [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Tutajie kabila lako kwanzawasaalam
tarehe 02/05/2026 pale UDSM yombo 4 kulikuwa na zoezi la kufanya written interview kwenye kada mbalimbali lakini cha ajabu mpaka leo tarehe 06/05/2026 hawajatoa majibu ya usaili huo kama wanafovofanya taasisi zingine ambapo majibu hutoka na kutaganzwa kupitia tovoyi rasimi ya secretariet ya ajira (Public Service Recruitment Secretariat | PSRS ) badala yake wameita watu kimya kimya kupitia akaunti za wasailiwa ajira portal
kuna uwezekano mkubwa sana ajira hizo zilikuwa za connections au rushwa mpaka kushindwa hutangaza matokeo kwa umma kila msailiwa akajua alichopata
Jobless mpaka tuwehuke, hakuna kuhema
Bhana ee ile ya tbc imeshatiki trh 30 nna written, then Dodoma kama nikipita 😂
Kaza mkuu raia hawachekeshi huku! Mwaka wa fedha huoo!Bhana ee ile ya tbc imeshatiki trh 30 nna written, then Dodoma kama nikipita 😂
Ngoja nikapambane kwa mara nyingine, page yangu ya ajira portal imejaa TBC tuu 😂Kaza mkuu raia hawachekeshi huku! Mwkaa wa fedha huoo!