UDSM kuna nini jamani?

Kumbukeni UDSM inakufa hata kina Prof. Kabudi, Dr. Mvungi, Dr. Fauz na majembe kibao wameanzisha chuo chao kinaitwa university of bagamoyo. Hapo watabaki kina Misanya Bingi na kundi lake pamoja na dr. Bana na Mukandara.

huyu red ni lecturer apo udsm?ha ha
aisee nipo dunia gani mbona hii balaa
 
Huyu Mzee siku moja nchi itakuja ona umuhimu wa kuwaacha watu kama hawa. Dr. Lwaitama ni kichwa zaidi ya vichwa vingi hapa UDSM, may be kwa kuwa hata chuo kimebaki kuongozwa na watu wale wale wa sera zile zile za ndiyo mzee, ndiyo maana tunaona hata chuo hakijipambanui kufanya mageuzi halisi katika taifa. No new ideas at UDSM, Research zimebaki za kisiasa tu (REDET) HAKUNA SCIENTIFIC RESEARCH for scientific revolution katika nchi hii.
Soon UDSM will be in the hands of the NDIYO MZEE(s).
 
Mbona kwenye siasa husikiii kingunge amestaafishwa ili apumzike
watu ambao tunawategemea kwenye kipindi hiki ambacho hamna
wahadhiri wa kutosha ndio wanaingiliwa na pepo la siasa za kuganga
njaa na naomba bugeni kewe na watu wa kuanzia na shahada
moja kama kenya
 
UDSM ni sehemu ya kuzalisha mafisadi wa Tanzania..

Dr Lwaitama muda wake wa kustaafu umefika kazi yake kulalamika tu kwenye TV.
 

Huyo wa mwisho ni CCM, umekosea. Yupo upande wa serikali kwa kila tu
 
Hata uwe muhim kiasi gani umri wa kustaafu utumishi wa uma unapofika yabidi ukae pembeni upishe wengine wapate nafasi

mdau hivi udsm kuna wazee lukuki walostaafu unalijua hilo????siongelei kiushabiki wa kisiasa,naongelea kiuhalisia,,udsm ina shida ya wataalamu(wahadhiri),,,,
 
Ukweli unakuweka HURU, Juzi niliona mahala panasema Dr Lwaitama atakua mmoja ya watu watakao hutubia mkutano wa wasomi wa vyuo vikuu sinza, ni mkutano wa CDM. Mi nadhani serikali haipendi kufanya kazi na wasomi waliowakweli na wenyemwelekeo wa kuunga mkono Upinzani, Sa sijui ni nani msomi asieunga mkono Mageuzi kwa sasa
 
Hivi Mkuu wa Chuo, Dr Hawa Ghasia, atakua hajapita hapo na kalamu yake nyekundu kweli kama ambavyo alivyofanya kwa Prof Baregu??

 
CCM wana roho mbaya kuliko mchawi. Na ukishakula nyama ya mtu ni vigumu sana kuacha, Huyo mkadala mwenyewe ni kada wa CCM, Au mnataka tuwataje wote. Mafedhuuli na waonevu wabaya.
 

Jibu: Yule kada pekee wa Chamwino aliyebakia UDSM, dr Banna, aka Wa-Kijani.
 

Kwa taarifa nilizo nazo kutoka kwa mmoja wa rafiki zake wa karibu anasema yeye hajependa kuomba mkataba. Maana ukistaafu unaomba mkataba, na si wote wanaostaafu wanaendelea na kazi ya academics, wengine huamua kufanya mambo yao binafsi na mifano iko mingi. Lkn pia inawezekana ameamua kutoomba mkataba makusudi akijua huenda serikali ingembania. Vyovyote iwavyo mpaka sasa hakuna taarifa za kwamba kaomba mkataba, kwa hiyo mchukulie km wastaafu wengine wasiopenda kuendelea na kazi ya uhadhiri/ au wasiopenda kuendelea kufanya kazi hiyo mlimani.
 

Taarifa nilizo nazo ni kuwa Dr. Lwaitama kastaafu na hajapenda kuomba mkataba. Ikumbukwe si wote wanaostaafu hupenda kueendelea na kazi hiyo na mifano ni mingi sana. Prof. Baregu ni kwa vile aliomba mkataba lkn serikali ilimbania, ila Dr. Lwaitama hajaomba mkataba na hii si ajabu. Lkn pia inawezekana ameamua kutoomba akijua serikali huenda ingembania maana na yule ni mjaja. Ila all in all amestaafu na wala hajastaaifishwa na hajaamua kuomba mkataba. Huu ni ukweli kutoka kwa rafiki yake wa karibu.
 
Govn.unvsts,UDSM,na Udom vinaendeshwa kisiasa!! Wanazuia kufanya siasa,bt za Ccm wanafurai sn. Kwa prof.lwaitama ndo kilicho tegemewa!! Ata akiondolewa udsm,stil anakubalika sn kwa mawazo yake,.!
 
Kumbukeni UDSM inakufa hata kina Prof. Kabudi, Dr. Mvungi, Dr. Fauz na majembe kibao wameanzisha chuo chao kinaitwa university of bagamoyo. Hapo watabaki kina Misanya Bingi na kundi lake pamoja na dr. Bana na Mukandara.

.....MMmmmmmm, University of BAGAMOYO??? Who is the Sponsor?? Why Am I suddenly smelling something awful..????
 
Hivi Mkuu wa Chuo, Dr Hawa Ghasia, atakua hajapita hapo na kalamu yake nyekundu kweli kama ambavyo alivyofanya kwa Prof Baregu??


Hawa Ghasia ndiyo CHANCELLOR wa UDSM!! Give me a break. I might be living in a different planet.
 
Tanzania na uongozi uliopo wanajali wajinga na wenye akili zao ndo wanageuka maadui wa nchi,
 
Na Professor Shivj yuko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…