MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,502
- 20,579
Simba watakula tumbili binadamu tutakula hao swalaChuo kikuu cha Dar es Salaam kampasi ya Nyerere (zamani Mlimani) kiko kwenye mpango maalum wa kuleta swala 50 kama majaribio ya mpango wake mkubwa wa kuweka wanyama katika mazingira yake,mtaalam wa zoolojia kutoka chuoni hapo Dr Mgunila alisema hatua hiyo ni moja ya hatua za mwanzo katika kubalance ikolojia pamoja na kuifanya kampsi hiyo kuwa ya aina yake duniani.Swala hao wanaungana na tumbili kadhaa waliopo chuoni hapo huku mpango kabambe wa kuagiza simba wasiokula binadamu kutoka Australia nao ukiendelea ili kuja kudhibiti wanyama walao nyasi siku za usoni.
Kila la kheri UD
Hee hao simba wasiokula binadamu ni Marastafari ? Wanakula jani tu na mboga za majani
Aireeee waaz
Ya aina yake dunianiChuo kikuu cha Dar es Salaam kampasi ya Nyerere (zamani Mlimani) kiko kwenye mpango maalum wa kuleta swala 50 kama majaribio ya mpango wake mkubwa wa kuweka wanyama katika mazingira yake,mtaalam wa zoolojia kutoka chuoni hapo Dr Mgunila alisema hatua hiyo ni moja ya hatua za mwanzo katika kubalance ikolojia pamoja na kuifanya kampsi hiyo kuwa ya aina yake duniani.Swala hao wanaungana na tumbili kadhaa waliopo chuoni hapo huku mpango kabambe wa kuagiza simba wasiokula binadamu kutoka Australia nao ukiendelea ili kuja kudhibiti wanyama walao nyasi siku za usoni.
Kila la kheri UD
Simba watakula tumbili binadamu tutakula hao swala
Hawa simba wasiokula watu! labda wale wa msimbazi.....
Wanakula gugu tu! Full veg!Hee hao simba wasiokula binadamu ni Marastafari ? Wanakula jani tu na mboga za majani
Aireeee waaz
Hee hao simba wasiokula binadamu ni Marastafari ? Wanakula jani tu na mboga za majani
Aireeee waaz