UDSM-haya magazeti mnapewa bure?

si unachagua kile kinachotii kiu yako! Kama hupendi uhuru la ccm unasoma tanzania daima la chadema....ndio maisha
 
Nijuavyo mimi ni kuwa vyuo vya umma/public huwa kuna mgao wa magazeti ya serikali. Japo kuna vyuo utawala mwingine una uzalendo wanaongezea nje ya bajeti ya serikali.

Ikumbukwe huwa fungu linatolewa ktk bajeti kwa mwaka wa fedha ili kununua magazeti ayo. Sasa kwa kukosa uzalendo na woga pamoja na kudhani watakalipia, librarians uweka order ya magazeti na majarida yanayoihusu govt.

Sana sana utakutana na uhuru, habari leo, mtanzania, pia dailynews, guardian. Ukienda vyuo vya binafsi utakuta magazeti ya dini.

Sijawahi kukuta mwanahalisi au Tz Daima katika maktaba za vyuo zote, labda kama mambo yamebadilika.

Sasa nenda huone magazeti ayo yanasomwaje: mtu akifika meza ya gazeti atavuta mtanzania alafu analisoma kama maandishi ya kiarabu, yan anageuza nyuma kuangalia michezo, kuitwa kwenye usaili n.k.

Ila mtu akinunua Mwanahalisi analisoma kuanzia mwanzo kwenda mwisho.
 
Hivi hakuna magazeti zaidi ya Mzalendo, uhuru na habari leo? Haya ndiyo magazeti wanayoyajaza pale library.

Usilete ujima hapa, kwani library hakuna free internet service? Si usome magazeti ya dunia nzima online?. BTW sasa magazeti yanasomeka hata kiganjani wewe unaanza kushitakia taasis yako kwa JF.
 
Back
Top Bottom