-Ni baada ya wanafunzi waliokamatwa katika maandamano kuwa suspended
9 kati ya hao wamekuwa suspended miezi nane.
23 kati ya hao, ambao wana kesi mahakamani kusimamishwa mpaka kesi zao zifutwe.
BOOM BOOM BOOM:
-Boom lacheleweshwa, ni baada ya kupata tarehe 8/12/2011 kwa mjibu wa ratiba ya Bodi ya Mikopo, mpaka sasa kupo kimya, hali si shwari, ile formula ya mlo kwa siku 001,011,100 na 010 imeshika chati.
-Wengine washindia mikate na mihogo ya Kariakoo(Kijisoko cha hapa Udsm)
NINI HATIMA KUFIKIA JUMATATU KUHUSU BODI NA WANACHUO?
NINI HATIMA YA WENZETU HAWA WALIOFUKUZWA?
>KUNA KILA DALILI JUMATATU "KUNJI" ALIMAARUFU KWA JINA LA ROOT KUWEPO.
Wadau wa Jf hayo ndo yanayoendelea hapa UDSM, Kwa habari zaidi tuonane mda wowote pindi lolote litakalotokea.
Nikiripoti kutoka hapa UDSM mimi ni BAMPAMI wa Jffffff!!
Mkuu, hii system ilitusevu sana Pale FOE.Sijui inaendelea au la.Ila unafanya unaendelea kula wali kuku hata kipindi ambacho wenzako wamechoka.Poleni sana mi nikiwa hapo chuo kifungwa mara mbili tukaa nyumbani hadi tukachoka,kweli bila hela ni mbaya,hivi ile system ya kuweka bili kwa bwashee coet na ile cafteria bado ipo?nafikiri wa2 wajienrol ili walao chakula kiwe cha uhakika,
nimepata uhakika kuwa hujasoma chuo,wala sikulaumu kwa hayo maneno niliyotegemea yatamkwe na tejanyie mmechanganyikiwa. Hivi huwa mnasoma saa ngapi?
nimepata uhakika kuwa hujasoma chuo,wala sikulaumu kwa hayo maneno niliyotegemea yatamkwe na teja
Poleni
nimepata uhakika kuwa hujasoma chuo,wala sikulaumu kwa hayo maneno niliyotegemea yatamkwe na teja
alidisco udom huyo, asikupe presha wala.
njoo nyumbani nikuonyeshe certificate kibao za SUA....
Ina maana SUA wanasoma vilaza? Acha kudhalilisha vyuo vya watu bana!kaulize SUA, wananikumbuka.
Ina maana SUA wanasoma vilaza? Acha kudhalilisha vyuo vya watu bana!
njoo nyumbani nikuonyeshe certificate kibao za SUA....