UDSM Form 1 tarehe ya kufungua chuo ni hii:

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
843
1,363
UDSM tarehe ya kufungua chuo kwa mwaka wa kwanza wapya ni tatere 17-09-2012. Mara ya kwanza tarehe ilikuwa imesetiwa 1 -10-2012 lakini mabadiliko yamefanyika ,na kila form 1 mpya anatakiwa aripoti tarehe hiyo. joining instruction letter utapewa hapa hapa UDSM , katika jengo maarufu NKURUMAH. kARIBUNI SANA , na msisahau kutupa kaka zenu na dada zenu sehemu ya kulala( kubebana) .\
BY MWANAHARAKATI UDSM
 
udsm hata j.k alisoma hapo.hata mwigulu.lowassa walisoma pia

mbona we jamaa kwenye posts au comments zako unaponda 2 ud?? tatizo nn?? Je udsm kuna somo au mtaala unaofundisha ufisadi?? izo ni tabia za watu tu, haijalishi chuo mtu alichosoma.
 
UDSM tarehe ya kufungua chuo kwa mwaka wa kwanza wapya ni tatere 17-09-2012. Mara ya kwanza tarehe ilikuwa imesetiwa 1 -10-2012 lakini mabadiliko yamefanyika ,na kila form 1 mpya anatakiwa aripoti tarehe hiyo. joining instruction letter utapewa hapa hapa UDSM , katika jengo maarufu NKURUMAH. kARIBUNI SANA , na msisahau kutupa kaka zenu na dada zenu sehemu ya kulala( kubebana) .\
BY MWANAHARAKATI UDSM

Mbona sasa kwene website ya udsm kuna press release ya tar 23 augst 2012(which means 2day) inasema kuwa first year waripot tar 1 october..?:wacko:
link hii apa chin
University of Dar es Salaam - Tanzania - Announcements - Announcements
 
wa duce je?

DUCE, REGISTRATION MTAFANYIA DUCE CAMPUS(CHANG'OMBE) NA JOINING INSTRUCTION MTAPEWA HUKO. NA WATU WAELEWE UKICHELEWA KUJA CHUO RUM YAKO ANAPEWA MTU MWINGINE WA MWAKA WA 2,3 AU 4. KWA HIYO NI VIZURI KUWAHI
 
kuna taarifa nimepata jana kuwa 1st year ni tarehe 01 october na continuing ni 08 october...
 
Jamani , jamani, jamani kuweni makini na taarifa hizi. Mimi nazungumza na kiongozi wa daruso. Watu wataanza kufanya supplimentary tarehe 17 sept. Continuous watafungua tarehe 24 september. Jamani kuweni makini. Kama hamuamini muende chuo kufuata hizo taarifa
 
Owky me sio kama sikuamin lakin jiweke kwenye nafasi yangu alafu uone..
owky ile taarifa nimeiona kwa web ya chuo na imetolewa na Naib makamu mkuu wa chuo-Taaluma
nw unafikiri ya nan ina uhakika zaid apa..!!!!?
 
Back
Top Bottom