Udsm fees

Waambi

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
737
0
Ndugu zangu naomba kujua fee structure ya UDSM. Je degree ya kwanza ada sh.ngapi?
 

Sista

JF-Expert Member
Sep 29, 2013
3,207
2,000
Ada yake ni sawa na nasari ya intaneshional english midia za siku hivi. kwetu kayumba bado tunalipa elfu ishirini
 

Waambi

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
737
0
Wale wa mature age wanapatikanaje? Nina credit.6 O.level na cheti cha journalism, naweza kusoma law?
 

Waambi

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
737
0
Keneth, ni dipl niliyoipata London School of Journalism through distance learning. NACTE wameipa hadhi ya cert. ndio maana nikasema cheti!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom