UDSM/chuo cha migomo isiyo na kichwa wala mkia

Sioni kama umewakilisha...
Tupe analysis yako, how and why you think the way you think
 
Mamtu mengine bwana yana vichwa vigumu kama vya ngedele hayawazi wala kufikiria yako wapi yanakwenda wapi haki zao za msingi ni zipi, yanaishi tanzania kama matumwa, lazima UDSM Wadai haki zao zamsingi ndiyo watulie. Hawawezi kuishi kama nyinyi viraza mnaoishi kama panya hamna hata uhuru mnabaki kuponda bila msingi
 
Laumu ukilaza wako ndio umekukosesha kusoma chuo chenye viwango vya kimataifa ,
ukaenda huko kusikoweza kukusaidia kutambua hata haki zako,
ona hata unavyowakilisha ndio huwa mnazungumza huko,kilaza+
 
mods ebu futa huu ushuz wa hawa vijana wenye maksi ndogo za form six na kuikosa udsm.
 
Dah,kila siku tunasema kama si great thinker lazima mtaweka post za kusimangana, kulumbana na kutukanana ambazo hazisaidii,the best way for students of our universities to claim for their lost rights is through BOYCOTTING CLASSES na mafanikio ya migomo tumeyaona
 
udsm lazima uwe kichwa kwani tunavyogoma bila ubongo wenye akili za kutosha unaishia semester moja tu.
 
.............nafahamu kipengele cha katiba kinachohusisha mtu mmoja kuheshimu maoni na mawazo ya watu wengine. mi naamin kwa ustawi mzuri wa jamii forums kuna baadhi ya threads tuache kuzitolea michango maana zinapunguyza hadhi ya jamii forums hii naamin ndo njia sahihi ya kupambana na baadhi ya watu humu ndani wanaofanya mambo kwa maslahi ya matumbo yao na si ya taifa,mfano hii thread!
 
Kila siku wanagoma kwa malengo tofauti yasiyo na tija, nawakilisha
We ni mjinga na huna akili hata kidogo mpumbavu wewe. Unakipaka chuo matope bila facts....unajua maisha ya huku au unaropoka tu? hivi wewe umeishia darasa la ngapi? inaonekana hata form 6 haijafika. Usiropoke bila kuwa facts mkuu. Mi umenikera na hii post yako. Kama huna topic kachome maindi na sio kuweka posts za kijinga kama hizi. (im mad)
 
We ni mjinga na huna akili hata kidogo mpumbavu wewe. Unakipaka chuo matope bila facts....unajua maisha ya huku au unaropoka tu? hivi wewe umeishia darasa la ngapi? inaonekana hata form 6 haijafika. Usiropoke bila kuwa facts mkuu. Mi umenikera na hii post yako. Kama huna topic kachome maindi na sio kuweka posts za kijinga kama hizi. (im mad)

mkuu,achana nae mpori huyo,ana hasira za kupakosa udsm.
 
Wanafunzi wa sasa waoga sana yani me ningekuwa mwanafunzi leo ningelipua makazi ya mkandara hapo,na kuna kipindi ticha flani hapo alikua ananizingua na nilipanga nilipue utawala sema tulienda nae sawa,hawa washenzi dawa yao ni kulipua yani mnashindwa kujioganaiz wanafunzi hata wa5 mkanunua guruneti na kulipua utawala? Kama mbwai mbwai tu hii nchi mbele haitotawalika biliv dat I'm tellin y'all buddiez
 
Back
Top Bottom