UDSM: ARIS imetema

UDSM: ARIS imetema

Mchumi90

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,102
Reaction score
1,331
Kwa wale wa UDSM kitu kimetema, kwa wale wa September Conference mpeane updates za tarehe za vikao mapema...
 
Hahaha...enzi zetu kulikuwa na ZALONGWA, hahaha siku hizi ARIS
 
Jamani Cohu watoee,niangalie possibility za kuvaa johoo , maana n sheeeda
 
kweli waarabu wa pemba hujuana kwa vilemba. yani nimetoka kapa
 
Bulayaa ,aka shangazi, aka elimumitindo alinikondeshaa saba yaani, na formative view of assessmentEp300 but mambo n swafiii nasubir joho tuuu du Ud n kebokho
 
ARIS niliyoiona leo sio ARIS ile iliyonilea na kunikuza katika GPA nzuri nimeshuudia ubakaji wa elimu.... ARIS.

ARIS sio mama yangu wala baba yangu..... Usipopata mabadiliko ndan ya ARIS tuyatafute UDOM....... Nimeitikia wito wa UDOM wa kujiunga nayo ili kuikomesha ARIS........ ����������������������

Watu Wana maneno.
 
Hahahah vijana Hongereni Mnanikumbusha mbalii saana...Nakumbuka sana Mazingira yale ya Yombo,,kugombania shuttle kwenda bibo,,foleni ya ubungo,,Yale mapindi hadi usiku kule Theatre 1&2,,ulee msosi kiduchuu wa cafeteria,,ule usingizi mzito mle mjengoni (library) lilee joto kali la Bibo...vile vyoo vichafu vya Campus duuh na.mengine mengii kama Cozwek,,Ue,,kutoa copy madesa....kuushiwaa helaa kabla bum lingne halijatoka...yale makeleelee ya NJAAAAAAAA hall2 na 5,,block c,,d,,na e
All in all najivunia kupita na kufaulu Katika chuo kikuu cha dar es salaam na Mungu akijalia nitarudi kwa ajili ya Masters

karibuni Kitaa sasa kwenye Real life!!Acha yale mliokua mnaigiza enzi za boom!!
Huku ni akili kumkichwaa!!utavuna ulichopanda...
Jengeni fikra katika Kujiajiri zaidi na sio kuajiriwa...
Wale wa Sept conf mjipange angalau muungane na wenzenu kuvaa Majoho pale Mlimani city huku mkipiga vipicha picha na kuweka mitandaoni daah
KUVAA YAKE JOHO ASIKWAMBIE MTU...KUNA RAHA YAKE HASA UKIKUMBUKA ZILE CHANGAMOTO ZA KOZWEK,,UE,,NA MA LECTURER WASIO NA HURUMA

Binafsi sitoisahau kozi moja inaitwa REMOTE SENSING chini ya JAMAA MMOJA MTATA SANA ANAITWA DOKTA WILLIUM PHD ..ilkua ni balaa enzi zilee...

karibuni saana kitaaa....
 
Username yako,Title yako na content yako mmmhhhmmmhhhmmmhhh...BRN
 
Back
Top Bottom