UDSM accomodation

UDSM accomodation

MwanazuoniMJ

Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
66
Reaction score
30
Habari wana udsm wote wapya na wale wanaoendelea ..uzi huu ni maalum kwa ajili ya kuexhange room au kuuza room kwa wale wanaohitaji kwenda kukaa nje karibuni sana tujipange na 2017/18.....
 
Ww cont? Nipate dogo anipe kwa magu nimtoe laki mbili
 
kuna laki mbili hapa kwa room ya hall 1,kuna laki hapa room ya mabibo. Kwa wale first year mnaouza room... fursa hiyo..
 
Laki mbili jamani kwa maguful hostels atokee mhanga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom