Kinaxe New Member Joined Oct 13, 2018 Posts 1 Reaction score 1 Oct 15, 2018 #1 Habari Zenu Wana Jamii Forum mimi kwenye acount yangu nliyofanyia aplction udsm naona kwenye selection result page sioni status zaid naona wameandika an erro sijui na nyie wenzangu mmeandkiwa ivyo ana nini maana yake
Habari Zenu Wana Jamii Forum mimi kwenye acount yangu nliyofanyia aplction udsm naona kwenye selection result page sioni status zaid naona wameandika an erro sijui na nyie wenzangu mmeandkiwa ivyo ana nini maana yake
M Mashona Senior Member Joined Sep 18, 2018 Posts 100 Reaction score 160 Oct 15, 2018 #2 Hata Kwa binti yangu imeandikwa hivyo nahisi kuna taratibu hazijakamilika
M Mashona Senior Member Joined Sep 18, 2018 Posts 100 Reaction score 160 Oct 15, 2018 #3 Hata Kwa binti yangu imeandikwa hivyo nahisi kuna taratibu hazijakamilika
fierceman JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 553 Reaction score 758 Oct 15, 2018 #4 duh kumbe wengi mimi wameniandikia" an internal server error occured" nikawapigia wakaniambia subiri
R rich jimson Member Joined Sep 28, 2018 Posts 18 Reaction score 11 Oct 15, 2018 #5 Wamesharekebisha kwangu ipo sawaa
M makalango JF-Expert Member Joined Feb 10, 2017 Posts 462 Reaction score 259 Oct 15, 2018 #6 fierceman said: duh kumbe wengi mimi wameniandikia" an internal server error occured" nikawapigia wakaniambia subiri Click to expand... Vipi mkuu umepata au
fierceman said: duh kumbe wengi mimi wameniandikia" an internal server error occured" nikawapigia wakaniambia subiri Click to expand... Vipi mkuu umepata au
fierceman JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 553 Reaction score 758 Oct 16, 2018 #7 makalango said: Vipi mkuu umepata au Click to expand... aah wapi uzinguzi tu... basi utawasikia tunakosea kuomba
makalango said: Vipi mkuu umepata au Click to expand... aah wapi uzinguzi tu... basi utawasikia tunakosea kuomba
R rich jimson Member Joined Sep 28, 2018 Posts 18 Reaction score 11 Oct 16, 2018 #8 M pia ilikuwa hvyohvyo ila nkaingia kweny home page halaf nkalog in ikakubali kufunguka
Just Distinctions JF-Expert Member Joined May 5, 2016 Posts 3,322 Reaction score 6,967 Oct 18, 2018 #9 Angalia tena na kama upo karibu nenda ofisini