UDSM 3rd round

UDSM 3rd round

Kinaxe

New Member
Joined
Oct 13, 2018
Posts
1
Reaction score
1
Habari Zenu Wana Jamii Forum mimi kwenye acount yangu nliyofanyia aplction udsm naona kwenye selection result page sioni status zaid naona wameandika an erro sijui na nyie wenzangu mmeandkiwa ivyo ana nini maana yake
 
Hata Kwa binti yangu imeandikwa hivyo nahisi kuna taratibu hazijakamilika
 
Hata Kwa binti yangu imeandikwa hivyo nahisi kuna taratibu hazijakamilika
 
duh kumbe wengi mimi wameniandikia" an internal server error occured" nikawapigia wakaniambia subiri
 
M pia ilikuwa hvyohvyo ila nkaingia kweny home page halaf nkalog in ikakubali kufunguka
 
Back
Top Bottom