wew ndio kuwa makini na uhakika wako wa kizushi...jamaa kasema yupo chuo...Tuwe makini na taarifa tunazotoa kwenye mitandao.
Nina uhakika hata chuo bado hujaenda uko tu nyumbani unapiga simu unauliza mambo yanavyoenda thn unakimblia kulalamika huku jf.
Form ya registration ya warden ina sehemu ya kujaza km unakaa offcampus au hostel. Km unataka kukaa offcampass lazima uandike barua ya kuomba kibali kwa dean of students.
Kibali hicho ndicho utakitumia Wakat wa usajili ili usilipie hostel.
Kuhusu suala la bima siwez kulitolea ufafanuz ila mwaka jana wale wenye bima walilipa kiasi kidogo kwa ajili garama ambazo kwa kawaida hazilipiwi kwa bima
Tuwe makini na taarifa tunazotoa kwenye mitandao.

Chuo cha Udom Na Udoso mnafanya mambo kama si wasomi hivi inakuwaje MTU yupo off campasi halafu mnasema lazima alipe hela ya hosteli Na ya Bima wakati constitution ya chuo inasema wazi kama MTU akiwa Na mimba au Mtoto haruhusiwi kukaa hostel
Sasa hii hela mnayotaka ya hosteli Na MTU hatakaa ndani ya hostel kwa maana anakaa nje kwasababu anamlea Mtoto je huu si ufisadi jamani ni chuo gani duniani kitafanya decision kama hii bila kujali wanachuo huu ni ujinga uliopitiliza