Udoso- federation wachafua hali ya hewa "udom" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udoso- federation wachafua hali ya hewa "udom"

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by buhange, Nov 27, 2011.

 1. buhange

  buhange JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 494
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Kwa mara nyingine Tume ya uongozi wa wanafunzi(UDOSO) ngazi ya Shirikisho la Colleges zote wameendelea kushangaza Umma wa wana-UDOM na kuwaacha vinywa wazi, Ni ktk tukio lililotokea tar.26(jana) wakati wa kuaga mwili wa marehemu aliyefariki kwa kupigwa na radi tar.25/11 muda wa saa 3:00 usiku eneo la nje pale Cafteria ya MML. Sasa ktk hali isiyotarajiwa na wengi UDOSO-FEDERATION walitangaza kutoa 50,000 tuu wakimaanisha kuwa urefu wa kamba yao umekomea kwenye ELFU HAMSINI kama rambirambi yao ngazi SHIRIKISHO(Yaani "Baba" na "Kitovu" kikuu cha Viongozi wa wanafunzi ktk Colleges zote).Tume ya UDOSO- ktk College husika alipokuwa akisoma marehemu yaani SOCIAL SCIENCE wao walitoa 200,000 kama rambirambi yao. Umma wa wanafunzi wa SOCIAL SCIENCE wao walichanga Milioni moja na usheeeeeh! kwa moyo mmoja bila kujali hali ngumu ya maisha iliyopo ktk chuo hicho kwa hivi sasa.Mmmmh! Sasa Nini FEDERATION wanachomaanisha,hawana fungu zaidi ya hiyo pesa waliyotoa au bajeti ipo kwa ajili ya mambo mengine? maana siyo Leo tuu....imekuwa tabia yao kutoa fungu la ajabu ajabu.

  MWANDISHI WA MAKALA HII SI MWANAFUNZI WA UDOM ILA ALIKUWEPO KTK ENEO LA TUKIO WAKATI WA KUAGA MWILI WA NDUGU YETU
   
 2. buhange

  buhange JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2011
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 494
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Kwa mara nyingine Tume ya uongozi wa wanafunzi(UDOSO) ngazi ya Shirikisho la Colleges zote wameendelea kushangaza Umma wa wana-UDOM na kuwaacha vinywa wazi, Ni ktk tukio lililotokea tar.26(jana) wakati wa kuaga mwili wa marehemu aliyefariki kwa kupigwa na radi tar.25/11 muda wa saa 3:00 usiku eneo la nje pale Cafteria ya MML. Sasa ktk hali isiyotarajiwa na wengi UDOSO-FEDERATION walitangaza kutoa 50,000 tuu kama rambirambi yao kama SHIRIKISHO.Tume ya UDOSO- ktk College husika alipokuwa akisoma marehemu yaani SOCIAL SCIENCE wao walitoa 200,000 kama rambirambi yao. Umma wa wanafunzi wa SOCIAL SCIENCE wao walichanga Milioni moja na usheeeeeh! kwa moyo mmoja bila kujali hali ngumu ya maisha iliyopo ktk chuo hicho kwa hivi sasa.Mmmmh! Sasa Nini FEDERATION wanachomaanisha,hawana fungu zaidi ya hiyo pesa waliyotoa au bajeti ipo kwa ajili ya mambo mengine? maana siyo Leo tuu....imekuwa tabia yao kutoa fungu la ajabu ajabu.

  MWANDISHI WA MAKALA HII SI MWANAFUNZI WA UDOM ILA ALIKUWEPO KTK ENEO LA TUKIO WAKATI WA KUAGA MWILI WA NDUGU YETU
   
 3. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Usilazimishe ndugu, uwezo wao ndipo ulipoishia. Labda uniambie kuna kiwango maalum kilichowekwa, halafu wao wakashindwa kufikia.
  NJE YA MADA: Hiyo UDOSO unayoisema ni ipi, taarifa nilizonazo ni kuwa viongozi halali wa UDOSO walisimamishwa masomo zaidi ya nusu akiwemo Naibu Waziri wa Michezo, Jimmy Shomari, ambaye nina uhakika mpaka leo bado yuko nyumbani.
   
 4. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #4
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Yamekuwa hayo tena.
   
 5. C

  CHIPANJE JF-Expert Member

  #5
  Nov 27, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mphavu,hukumuelewa huyo jamaa.Hamsini elf ni ndogo sana kwa federation.Isipokua wao wanataka wabakiwe na pesa nyng hadi wanunue magari.
  Ufisadi ni tishio nchi hii!
   
 6. KANUTI SILAYO

  KANUTI SILAYO Member

  #6
  Nov 27, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  acha woga kwani ukiwa mwanafunzi watakufanya nn?
  Wao kua federation kwa kusimamia college zote sita haimaanishi ndo kua na pato
  kwanza wao wanategemea hela kutoka kwenye hizo college kwa maana kua wanaokusanya hela za student union ni college husika hata km hela zikipita kwenye a/c ya federation lazima ipelekwe college husika
  kwa maneno hayo si kwamba na watetea ila ukweli serikali ya federation haina power hata kidogo mfano mdogo migomo yote na maamuzi yote yanafanywa na college husika
  am the X udom
   
 7. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #7
  Nov 27, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  wao kama kamati ya mazishi eh? Kwanza hawajiulizi kama marehemu asingekuwa mwanafunzi ingekuwaje, si wangeambulia zile jero jero za akina sie?
   
Loading...