Wakuu habari zenu
Samahani kwa wale ambao washafanikiwa kuapply udom kwenye sehemu ya ku upload attachment unaweka zipi?
Je ni a-level certificate na o-level kwa kipengele cha certificate award au unaweka certificate zipi?
Anayejua plz naomba msaada wa maelekezo.
Namfanyia mdg ang.