..............Kuna mambo ya msingi kujadili,mimi uwa nakereka watu wapoleta thread ati UDSM v/s UDOM,MZUMBE v/s UDSM huku ni kukosa kazi..leteni thread tujadili namna ya kuinua elimu yetu amabayo hata huku UDSM,MZUMBE,SUA nk imeshuka sana..mtu aliyesoma UDSM miaka ya 2000 tofauti na mtu anayemaliza sasa,mtu aliyesoma Mzumbe pindi inaitwa IDM ni tofauti kabisa na mtu anayemaliza leo...hizi ndio facts tunazopaswa kujadili na sio Mzumbe v/s UDSM Or UDOM nk............