Na wewe ni grat thinker pia?? Nna mashaka hapo.i cant bileave kama msomi tena wa chuo kikuu anaweza kuandika ujinga kama huu...hivi wewe unaona ufahari kugoma eeeh ..huoni kuwa wenzako wa udsm wana akili za kufikiri na unafikiri wanakuwa wanagoma bila sababu.....wale wasomi wametulia kaka...kwanza PALE NDO CREAM YOTE YA MAZIWA IPO PALE na ndo mana hata wakigoma serikari fasta inafika ......pia nahisi wewe upo first year tena nawasiwasi na hata akili zako kama ziko timamu kabisaaaa ....au uliibia pepa ya form six...wenzako wanasikitika kurudi home kwasababu wanakosa masomo wewe unashangilia?????hivi baba yako na mama yako wakisoma hii maada uliyo iweka hapa unafikiri watafikiria nini.???kaka usituletee upuuzi hapa wa kijinga tena maada zisizo na kichwa wala miguuu
Udsm enzi zenu ziliisha isha Hacheni UDOM,iitwe Udom,kadri siku zinavyo pita hadi mtasahaurika,ila msijari.
kwa kweli,udom ina kazi kubwa sana,tena kama ina admitt wa2 wa dizain yako,cjui ka 2tafka!mr ilonza,me nadhan we co mwanafunz wa chuo kikuu ila unaish 2 kwenye compound surrounding udom.
waambie udsm bana,wanafanya mambo ka watoto wadogoTunapotezeana muda na energy bure r we arguing based on facts au individual attitudes n fellings ndo zinatudrive kuandika tunachoandika,it doesnt matter kama unatoka udsm,udom, makerere etc ila wewe km wewe uko strong,confident na unaweza kudeliver output when needed to?jina la chuo c ishu jamani kuna jitu lina degree lakini mtu ana diploma anaonekana ana uwezo zaidi,lets thnk twice,wengine mnawakwaza kwa comment zenu jamani kila chuo kina mapungufu yake ila tusiyatumie kuwaponda wenzetu wanaotoka huko,its annoying
Mkuu umeona ee,its high time UDSM should show respect 2 other institutionsIshu sio chuo gani ila ni m2 wa aina gani na uwezo gani!vyuo siku hiz vipo ving Tz na vinatoa wa2 critical na competant wanaowazidi so acheni kujiona bora coz ur frm Udom,Udsm 2nakutana nao ktk interviews mbona 2nawagaragaza na 2mesoma vyuo vidogo vya private!
kama upo udom na huwezi kuandika-unaandika hivyo-je hao wenzako itakuwaje?poleni sana chuo cha kataUdsm enzi zenu ziliisha isha Hacheni UDOM,iitwe Udom,kadri siku zinavyo pita hadi mtasahaurika,ila msijari.
mr njoro,me nahc we una chuki binafc na udsm au walikupga disco...by the way ucfe moyo,hata huko uliko utatoka 2,maisha popote 2 co lazma udsm!waambie udsm bana,wanafanya mambo ka watoto wadogo
wewe kijana wacha kabisa UD.!!ucfananishe na UDOM yenu,UDOM ni majengo tu hayo hata upanga yapo!!UD the home of intellectual bhana!Udsm enzi zenu ziliisha isha Hacheni UDOM,iitwe Udom,kadri siku zinavyo pita hadi mtasahaurika,ila msijari.