Udom vipi wameita watu kazini?

Kwani wewe ni dini gani na chama gani? Wanaita kwa kufuata vigezo hivyo so jitathmini kama unakidhi jipe hope
 
hahaaaaa nimesikia kua chuo hicho kina harufu ya udini kaazi kwelikweli ngoja tuone
 
Wazushi ninyi. Udom wa2 wote dini zote wanafanya kazi pale. Mi nimemaliza pale. Tatizo mpaka muöne deputy awe christian ndo mnaona raha. Acheni upuzi.
 
Wazushi ninyi. Udom wa2 wote dini zote wanafanya kazi pale. Mi nimemaliza pale. Tatizo mpaka muöne deputy awe christian ndo mnaona raha. Acheni upuzi.
<br />
<br />
Acha upuuzi wewe Dullah,mwenyewe nimemaliza Udom unataka kusema haujui Mlacha alivyo mdini? Walimu wenyewe wanaofundisha walishalilalamikia hili,inaonekana haufuatilii mambo,huo ndio ukweli wa Udom wakuu wengi wa Dept wanalalamikiwa kitu ambacho unakijua vzr
 
Kwenye uchaguzi wa chuo wa2 mlishangilia yesu kashinda je udom ni chuo cha yesu? Acheni bana mambo ya kipuuzi.
 
Acheni kulumbana nyie,we unaenda kusoma ama kuangalia udini?tanzania haina udini..
 
Back
Top Bottom