UDOM uchaguzi

UDOM uchaguzi

Johnson Alex Otieno

Senior Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
175
Reaction score
61
Hoja za wagombea,kuchelewa bumu,maji kuwa adimu,umeme kuondoa giza,wagombea wengi bado hawana strategies kwa uchindi,yupo hapa faustine anapiga kampeni kwa ndugu abel kama rais.
 
Mnaojiita wasomi mtadanganyika kwa porojo zao, laiti mngejua tume iliyowekwa pale mngewaachia wenyewe wachague watu wao.
 
hizo mbona zipo? kwani hao marais wanapeleka maji udom? au serikali ya TZ? vipi udini safari hii hamna? au bado hawajapewa maelekezo? cha msingi chgueni watu makini wenye hoja ya kuwatetea watu wanaoonewa kwenye sup na carry,na masuala ya mikopo, ayo masuala ya maji, umeme hayawahusu.
 
hizo mbona zipo? kwani
hao marais wanapeleka maji udom? au serikali ya TZ? vipi udini safari
hii hamna? au bado hawajapewa maelekezo? cha msingi chgueni watu makini
wenye hoja ya kuwatetea watu wanaoonewa kwenye sup na carry,na masuala
ya mikopo, ayo masuala ya maji, umeme hayawahusu.

sitakaa nisahau ile clip ya waislam wakipanga mikakati ya kuwazima wakristo kwenye uchaguzi kwenye kikao chao kilichofanyika college of education!! sikuamini kama hali ipo hivyo udom!!!! Mungu atunusuru na udini.
 
sitakaa nisahau ile clip ya waislam wakipanga mikakati ya kuwazima wakristo kwenye uchaguzi kwenye kikao chao kilichofanyika college of education!! sikuamini kama hali ipo hivyo udom!!!! Mungu atunusuru na udini.
pole sana, ukishangaa ya udini wa udom, utakuja ona ya matusi bungeni, hii ndo TZ tuliyonayo. tena ile clip nouma eti msiwachague makafili hao, du ila cha moto walikiona wenyewe baada ya uchaguzi.
 
hapa ishu ni kuwajengea vijana chuoni, hao ndio watachukua nchi 2015.
 
Mnaojiita wasomi mtadanganyika kwa porojo zao, laiti mngejua tume iliyowekwa pale mngewaachia wenyewe wachague watu wao.

Mkuu mbona tume ya sasa ina watu makini sana? Jamani mlishapenda kulalamika tu
 
asavali kama hamnaga udini siku hizi,maana mwaka juzi hali ilikua ,baya hapo baada ya udini na wadini kuzuka
 
Kampeni zaendelea kupamba moto kwa nafasi mbalimbali ikiwemo ya raisi wa college na raisi wa shirikisho la college zote za UDOM, wabunge na viongozi wa ma-block. Unaonyesha kuwa ni wa huru na haki
 
Kosa lako ni heading, umetumia ung'eng'e kwa hiyo watu wengi wanaogopea mbali. Badilisha heading na utapata wachangiaji
 
Ni Uv ccm wanashindana wao kwa wao maana chadema wote tume iliwaengua kwenye usahili na ubakaji wa demokrasia
 
mbona nasikia mkuu wa chuo kakiri UDINI upo?
 
Back
Top Bottom