UDOM: Tulivyokula maisha kuukaribisha mwaka 2012, wenye wivu mtachonga sana

Maisha Mafupi lakini ni matamu sana uko wapi bibie afrodenzi?

Kabisa mkuu..
ahhhh kuna watu wanapenda tu kuponda bila sababu za maana.
jamaa kakuvulia shati chupa yake mkono anasherehekea mwaka mpya.
hampigi mtu, hajavunja sheria yeyote .. kwa kweli sioni sababu ya kumponda..

Kula maisha kufa kwaja...

Nway mi nipo maeneo maeneo tu ndugu yangu..
 
Saint we ni yupi kati ya hao?
umenipenda ni ku pm?
CIMG0734.JPG
 
Kabisa mkuu..
ahhhh kuna watu wanapenda tu kuponda bila sababu za maana.
jamaa kakuvulia shati chupa yake mkono anasherehekea mwaka mpya.
hampigi mtu, hajavunja sheria yeyote .. kwa kweli sioni sababu ya kumponda..

Kula maisha kufa kwaja...

Nway mi nipo maeneo maeneo tu ndugu yangu..

Afro D ndio maana nakupenda..hawa jamaa wanajinafasi,hawajapiga mtu wala kuvunja kitu cha mtu.they have a good memory to remember.vipi lakini natumai sikukuu imepita vyema.au bado unasherehekea?
 
Hawa jamaa wanatarajiwa kuja kuwa na nafasi nyeti sana katika Jamii muda si mrefu..ndio mana hii nchi imechizika na inakwenda mlama chanzo sasa ndio tunajionea wenyewe.. ...utoto mwiiiingi kila mahali!!

attachment.php

attachment.php
mbona huyu mkaka zen anakatika sana na kapindisha kiuno ka anasikilizia kitu ivi au ni................
 
Mim sina cha kusema..
Ila niulize kitu kimoja..
Ni band gani ya taharabu ilikuwa imealikwa..
 
hiyo ndo udom sio...!?

basi kama ndo hivo fedha zetu za michango ya mifuko ya hifadhi za jamii ni kama tumezipiga kiberiti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom