UDOM: Tulivyokula maisha kuukaribisha mwaka 2012, wenye wivu mtachonga sana

Sijajibu sababu sijaelewa swali.
Kama swali ni lakupenda puto in general sijibu, hayo ni mambo yangu private.
Kama ni kupenda vile katumia kama baloon jibu ni NO. it is not funny at all.
mwali yaani kuniambia tu kuwa "ndio nimelipenda au sijalipenda" utapungukiwa na nini?
 
Kwa nini unalazimisha nikupe jibu unalo taka wewe? si nimesha jibu?

hujajinibu umesema eti ni mambo yako ya private..kwa nini balloon liwe mambo yako private? sijakuambia unieleze 'feeling' 'utamu' na mambo kama hayo,.Mwali nimekuomba uniambe tu kuwa umelipenda puto ama la.so simple mwali
 
nimesha jibu, labda hukusoma vizuri:

hujajinibu umesema eti ni mambo yako ya private..kwa nini balloon liwe mambo yako private? sijakuambia unieleze 'feeling' 'utamu' na mambo kama hayo,.Mwali nimekuomba uniambe tu kuwa umelipenda puto ama la.so simple mwali

Sijajibu sababu sijaelewa swali.
Kama swali ni lakupenda puto in general sijibu, hayo ni mambo yangu private.
Kama ni kupenda vile katumia kama baloon jibu ni NO. it is not funny at all.
 
puto ni muhimu sana inabidi ulipende tu
[video=youtube_share;iGYunAvfS70]http://youtu.be/iGYunAvfS70[/video]
 
Hivi aliyeanzisha hii thead anajua nini maana ya kula maisha? Maana hapo sijaona anaekula maisha zaidi zaidi naona wanaojifanya vikatuni
 
attachment.php

Kama Malta Apple ni hivi, kangara si unaweza kulala Toilet??
 
Mh!!!! starehe nyingine hazitakiwi kupigwa hata picha. Yaani naona aibu utafikiri ni mimi
 
Mh!!!! starehe nyingine hazitakiwi kupigwa hata picha. Yaani naona aibu utafikiri ni mimi

Hawa jamaa wanatarajiwa kuja kuwa na nafasi nyeti sana katika Jamii muda si mrefu..ndio mana hii nchi imechizika na inakwenda mlama chanzo sasa ndio tunajionea wenyewe.. ...utoto mwiiiingi kila mahali!!

attachment.php

attachment.php
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom