UDOM: Tulivyokula maisha kuukaribisha mwaka 2012, wenye wivu mtachonga sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UDOM: Tulivyokula maisha kuukaribisha mwaka 2012, wenye wivu mtachonga sana

Discussion in 'Jamii Photos' started by Saint Ivuga, Jan 3, 2012.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,521
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  CIMG0641.JPG
  hapa tukiserebuka
  CIMG0640.JPG
  serebuko likiendelea ..watu weweeeee

  CIMG0734.JPG tukaamua tuingie club kiaina ...totoz zilikuepo bhana we acha tu
  CIMG0738.JPG kila mtu na wake hapo..totoz za ukweli


  CIMG0616.JPG
  usiulize bhana

  CIMG0717.JPG
  hujui hiki ni nini aisee...tupo chuo bhana
  CIMG0718.JPG POMBE SIO CHAI
  CIMG0703.JPG
  CIMG0704.JPG
   
 2. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  mtajirusha sana na mwisho mtaanguka - mr EBBO.
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,521
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  huo ni wimbo tu..wewe ungetaka tukae ndani?
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hahahahah lol
  Banjuka tu , maisha mafupi..
   
 5. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kweli starehe zinatofautiana. lol
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,521
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  hahaaa umeona ee
   
 7. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #7
  Jan 3, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Hawa vijana ni WAINGEREZA hasa.............

  Ivunga hiyo sahihi yako....... Madaraja yakibomoka atasema WAPAE..... teteteeee.....
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,521
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  umelipenda hilo puto hapo?
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,521
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  hahhah hawachelewi kweli kutuambia tupae kama malaika ..ila cha kushangaza utakuta wamepata kur zaidi ya 80%
   
 10. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #10
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Puto ndio nini?
  Mi ningekua hapo nadhani ningeboreka kiasi... na mwishowe ningeenda kulala mapema, kabla ya saa sita.
   
 11. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #11
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Kwa raha zao kwakweli..
  as long hawamuumizi mtu .. is all good :poa
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,521
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  usingeenda kulala ,labda kama unakunywaga juice
   
 13. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #13
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Unajua mtu kama unakunywa pombe kiasi cha kufanya kitu ambacho huwezi fanya katika hali ya kawaida basi umesha zidisha doz.
  Kwa hiyo ninywe juice au ninywe pombe haijalishi, ninachoona tu ni kwamba ningeshindwa kuji-enjoy pamoja na wengine hapo.
  (BTW, asante kwa kunielewesha maana ya PUTO)
   
 14. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #14
  Jan 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Maisha Mafupi lakini ni matamu sana uko wapi bibie afrodenzi?
   
 15. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #15
  Jan 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Mwali hujambo bibie ? kwani unakunywa Pombe wewe?
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,521
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  umelipenda?
   
 17. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #17
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kulipenda vipi, si nimeona tu?
  Hata aliekua anapuliza hakulipenda, maana amekinga mdomo wake kwa t-shirt!
   
 18. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #18
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mi mzima ndugu. Habari ya mwaka mpya?
   
 19. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #19
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,521
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  lina mafuta ndio maana kaweka t shirt-
  bado hujajibu..umelipenda?
   
 20. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #20
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Sijajibu sababu sijaelewa swali.
  Kama swali ni lakupenda puto in general sijibu, hayo ni mambo yangu private.
  Kama ni kupenda vile katumia kama baloon jibu ni NO. it is not funny at all.
   
Loading...