UDOM second round

Hongera kwenu mliochaguliwa mungu amesikia kilio chenu .
 
Sisi wa first round tayari tushapewa admission number , admission letter , medical form na fee structure , inatakiwa tarehe 29 October kila mtu awe ameshafika chuo udom na amelipa ada kabla ya tarehe hiyo , orientation day tarehe 5 November
 
Ngoja na sisi tusubiri
 
Thank you ALLAH nimechaguliwa udom na mimi nimepata ALLAH give what yo praying fo.......hii heka hekaa haikuaa sio poaaaa jamaniiiii sasa hapa haa game ya simba na yanga naenda taifa kwa amani zote
 
Mbona UDSM ovyo hamna admission letter tuliyopewa shit. Alaf mfadhili wangu anaitaka
 
Kuna member mmoja alisema kuwa ukiona account yako haijajibiwa Basi kuna posibilty kubw ya kuwa umechaguliwa hayo ni yakwel kbx mm nimechaguliwa nw
kuna mwingine wamekawia kumjibu ila hajapata na profile yake huwezi kuapply haikup acess hiyo
 
Umepata Udom mkuu?
 
mwambi
kuna mwingine wamekawia kumjibu ila hajapata na profile yake huwezi kuapply haikup acess hiyo
mwambie awapigie fasta hata mi second round ilinifanyia ivo ivo nikawapigiaa wakaniambia niwape namb ya 4m4 aka update pale pale afu akaniambia ingia tena nikaingia nikakuta inanirusu kuapply tena
 
Thank you ALLAH nimechaguliwa udom na mimi nimepata ALLAH give what yo praying fo.......hii heka hekaa haikuaa sio poaaaa jamaniiiii sasa hapa haa game ya simba na yanga naenda taifa kwa amani zote
natumaini hata ukifungwa roho safi tu.
 
Thank you ALLAH nimechaguliwa udom na mimi nimepata ALLAH give what yo praying fo.......hii heka hekaa haikuaa sio poaaaa jamaniiiii sasa hapa haa game ya simba na yanga naenda taifa kwa amani zote
Daaa acha tyu Mkuu tumepata tabuu xnaaa
 
karibuni sana UDOM vijana mliochaguliwa na mtakao chaguliwa.
zingatia: ukifika soma kwa juhudi zako zote watu wanadisco huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…