kesho mpeleke kiongozi wako wa kanisa awe rais, si mshazoea kila kitu nyinyi tu. hamtaki waislam wawe juu. acha udiniwako hapo
kesho mpeleke kiongozi wako wa kanisa awe rais, si mshazoea kila kitu nyinyi tu. hamtaki waislam wawe juu. acha udiniwako hapo
kesho mpeleke kiongozi wako wa kanisa awe rais, si mshazoea kila kitu nyinyi tu. hamtaki waislam wawe juu. acha udiniwako hapo
Mkileta udini kwenye Elimu ya juu mtaaibika mbaya kwani mko only 20%. Kila siku tunawahimiza hapa kwenye jamvi kuwa geuzeni madrasa kuwa madarasa hamtaki, chagueni mufti ambaye angalau ni form 4 aweze kujua umuhimu wa kujenga mashule nyie mnamng'ang'ania wenu wa darasa la saba. Kaeni chonjo JK akitoka tunatimua akina Mlacha na Kikula kwa kuwa ndio chanzo cha udini. Chuo gani ukiomba kazi kwa jina la kiislam hata kama la uongo unapewa kazi hata kama hauna sifa, halafu mnajidanganye eti hela za waarabu. Kwanza tutaanza kuchunguza kama hakuna masomo ya ughaidi katika hicho mnachoita chuo chenu. Huyo mkristo aliyepigwa avumilie tu kwani wao wamemwaga damu ya Osama wiki hii kwa hiyo wana mihasira yao hao. Udini na uongozi wapi na wapi. We MS mbona hujawahi kugombea hata uenyekiti wa kitongoji?kesho mpeleke kiongozi wako wa kanisa awe rais, si mshazoea kila kitu nyinyi tu. hamtaki waislam wawe juu. acha udiniwako hapo
kesho mpeleke kiongozi wako wa kanisa awe rais, si mshazoea kila kitu nyinyi tu. hamtaki waislam wawe juu. acha udiniwako hapo
Kama ni udini kuitafuna nchi basi serikali ifike haraka UDOM na imalize hili kabla mambo hayajaharibika.Katika uchaguzi ulofanyika chuoni hapa wa serikali ya wanafunzi,tume ya uchaguzi ilipitisha wagombea kwa kupendelea waislam, kila idara.Baada ya hapo hali iliendelea kuchafuka maana siku ya Alhamis usiku wanaharakati chuoni hapa walinasa waraka uliokuwa umeandikwa na waislam wakihimizana kuwa siku ya jana wapge kura wote ili wakiongoze chuo chao(ulisema waraka).Baada ya waraka huo kuonekana huku chuo cha elimu zilianza vurumahi na zikapelekea mwanafunzi mmoja mkiristo kupigwa hadi kushonwa nyuzi nane kichwani.Yote tisa,kumi ilikuwa jana siku siku ya uchaguzi maana kura zimepgwa kidini bila kujali uwezo wa watu maana watu walienda kuchagua kwa kuangalia majina tu,na wakristo licha ya kuteuliwa wachache wote wamepita.Lakini baada ya matokeo kutangazwa wakristo walishangilia kwa pambio za dini hata matokeo yalipokuwa yanatangazwa,mkiristo akitangazwa waliitikia "BWANA ASIFIWE" na mwislam walisema "takbir huyo ni wako"wakimwambia bwana ASALI ISAH ambaye ni mkurugenzi wa tume
Ngazi ya shirikisho yaani rais wa chuo kizima walikuwa wagombea wawili baada ya mmoja "kujiDovutwa"(kujitoa)mida ya mwisho,wagombea hao walikuwa ni :
1.ABUBAKAR BASHE mdogo wake na H.BASHE ila wana udom kama walivyomwambia kuwa yeye ni Rostam group wamempiga chini tena kwa kishindo,pale maskini uccm umemponza maana Udom ya leo na CCM ni maadui
2.GABRIEL DEBORA dada hasiye na jina kabisa ila ndiye kachaguliwa kwa kishindo
kesho mpeleke kiongozi wako wa kanisa awe rais, si mshazoea kila kitu nyinyi tu. hamtaki waislam wawe juu. acha udiniwako hapo
na wewe hapo umembwela, unakubali kweli kampeni zinazoendeshwa kwa waraka wa Kiislamu. Acha Uvivu wa kufikiria, waraka na uchaguzi huru wapi na wapi?kesho mpeleke kiongozi wako wa kanisa awe rais, si mshazoea kila kitu nyinyi tu. hamtaki waislam wawe juu. acha udiniwako hapo
chuo umeenda kukua wewe
upo
college ya education ndio
maana mawazo yako yamekaa
ki ualim ualimu 2 Na kama
ungekua social science na juzi
kama
ungehudhuria public lecture ya
prof issa shivji chimwaga hall
usingepost hii status
kabisaa
na mambo kama haya
kuyapost humu ni kukishushia
hadhi chuo watu wanatuchora
wanatuona wajinga kumbe
wajinga mpo wachache
mnaotafuta sifa za
kizamani.ushaona vyuo vingine
wana viherehere vya kupost
humu kwani wenyewe hawana
matukio? Mambo kama haya
yaleteni udom chamber
tuyajadili wanafunzi 2
kesho mpeleke kiongozi wako wa kanisa awe rais, si mshazoea kila kitu nyinyi tu. hamtaki waislam wawe juu. acha udiniwako hapo
chuo umeenda kukua wewe
upo
college ya education ndio
maana mawazo yako yamekaa
ki ualim ualimu 2 Na kama
ungekua social science na juzi
kama
ungehudhuria public lecture ya
prof issa shivji chimwaga hall
usingepost hii status
kabisaa
na mambo kama haya
kuyapost humu ni kukishushia
hadhi chuo watu wanatuchora
wanatuona wajinga kumbe
wajinga mpo wachache
mnaotafuta sifa za
kizamani.ushaona vyuo vingine
wana viherehere vya kupost
humu kwani wenyewe hawana
matukio? Mambo kama haya
yaleteni udom chamber
tuyajadili wanafunzi 2