udsm na udom ni walewale tu..tofauti yao ni majina...Mie sijafanya comparison ..nimesema hiyo idea wameikopi na kupest kutoka Udsm ......acha kuninukuu vibaya ..bythe way unajistukia na udom yako ..punguza presha utakatwa
Duh[emoji12] [emoji12] [emoji12]Hujaambiwa ufanye comparison,,,,,, kama kukopi na kupest kipi cha ajabu,,,kwani UDSM peponi!!!!!!!
Kila kitu tuwe tunaulizia UDSM kipo,,,,au kiliwahi kufanyika,,,,,,Acha mpango,,,Sema hako Kaplan kanasaidia watu duni,,,Hongereni UDOM kwa plan hiyo saidizi.
Udsmmbona UDSM ..hii kitu ipo tokea kitambo ...... ulizia waliopita udsm .wameikopi na kupest.
mkuu sodoka wewe unasoma wapi? course gani?
Ww huna chuo au spy kabisa..kila chuo unakijua umesoma, Mara mipango,Mara ifm ,not etc kila chuo unakijua duuu balaa
Hivyo unavijuaje au unadandia gari kwa mbele..kila post ya chuo unakijua mpaka hostelAcha uongo...unaniaibisha.....umetaja makapi yote..mie nimesoma coict nitake radhi
Mkuu udsm hii kitu haipo!Mie sijafanya comparison ..nimesema hiyo idea wameikopi na kupest kutoka Udsm ......acha kuninukuu vibaya ..bythe way unajistukia na udom yako ..punguza presha utakatwa
Mkuu nieleweshe kama unapata loan chuo wanakata gharama ipimbona UDSM ..hii kitu ipo tokea kitambo ...... ulizia waliopita udsm .wameikopi na kupest.
Sipo ng'ong'ona ila nina file la orodha ya freshers waliopata mkopo. Njoo pm unipe namba yako ya whatsapp nikutumie.Wadau kama kuna mtu yupo UDOM College of Education(ng'ong'ona)naomba anisaidie kujua kama ni kweli kuna majina ya w.funzi wa first year waliopata mkopo ambayo yamebandikwa huko chuoni. Natanguliza shukurani
thank you mkuu...nakuja ubarikiweeSipo ng'ong'ona ila nina file la orodha ya freshers waliopata mkopo. Njoo pm unipe namba yako ya whatsapp nikutumie.