Hujaambiwa ufanye comparison,,,,,, kama kukopi na kupest kipi cha ajabu,,,kwani UDSM peponi!!!!!!!mbona UDSM ..hii kitu ipo tokea kitambo ...... ulizia waliopita udsm .wameikopi na kupest.
..how sure are You????!Acha kukurupuka ndugu yangu. kitu kama hukijui kaa kimya.
Mm pia nimesoma UDSM japo ni tawini lkn najua wanafanya mambo sawa. Mbona tulimuomba sana Mukandala aligoma kabisa kufanya hio kitu? Anyway nisikubishie sana labda ipo main campus tu.mbona UDSM ..hii kitu ipo tokea kitambo ...... ulizia waliopita udsm .wameikopi na kupest.
Iv we m baba ukojembona UDSM ..hii kitu ipo tokea kitambo ...... ulizia waliopita udsm .wameikopi na kupest.
Acha umbea bwana expenses gani za UDOM. Za ada laki 8 na direct cost isiyozidi laki 3. Unajua kuna majitu yanaboa sana Tanzania hii kukurupuka tu kila kitu kujifanya unajua. Eti watakata boom lote...kwa expenses za UDOM watakata Boom lote directly
..mkuu tatizo watanzania wengi hamfikirii and You lack the sense of HUMUOR,Ivii kwa nlivocheka hapo Juu hujaelewa kitu????finally tunakuJa kuona kuwa wewe ndo unakurupuka from answering the Qns maana hukunielewa alaf hio ada Ya laki 8 ni Ya unachosoma weweAcha umbea bwana expenses gani za UDOM. Za ada laki 8 na direct cost isiyozidi laki 3. Unajua kuna majitu yanaboa sana Tanzania hii kukurupuka tu kila kitu kujifanya unajua. Eti watakata boom lote.
Hadithi yako inatufundisha ninimbona UDSM ..hii kitu ipo tokea kitambo ...... ulizia waliopita udsm .wameikopi na kupest.
Hujaambiwa ufanye comparison,,,,,, kama kukopi na kupest kipi cha ajabu,,,kwani UDSM peponi!!!!!!!
Kila kitu tuwe tunaulizia UDSM kipo,,,,au kiliwahi kufanyika,,,,,,Acha mpango,,,Sema hako Kaplan kanasaidia watu duni,,,Hongereni UDOM kwa plan hiyo saidizi.
Iv we m baba ukoje
..Hahaha!!ndugu sipo upande wowote na nyinyi ndio kielelezo Ya kuwa kuna competition between this two universities ILA binafsi all i said was Just Humuor maana naJua uhalisia uko vipi kwaio sitakulaumu kwa kutonielewa inaewezekana ni mentality ya chuo inakuadhiri
Hadithi yako inatufundisha nini
Acha uongo ww umesoma udsm gan ww watu tupo hapa udsm mwaka wa tatu huu hakunaga hicho kiyu ebhaana much lov saaana kwenu udom mmewasaidia watt wa masikin wanaojilipiaga wenyewembona UDSM ..hii kitu ipo tokea kitambo ...... ulizia waliopita udsm .wameikopi na kupest.
Tuache kukurupuka na kuwa waongo...Hadithi yako inatufundisha nini