Hali ya taharuki I metanda tenda Leo katika viunga vya UDOM kitivo cha walimu wakiendeleza maandamano ya kudai kupewa pesa ya chakula na malazi. polisi wamemwagwa kama Karanga lakin hawajarusha hata bom wala kupiga MTU.
Kama walioko chuo tiali hali ni ngumu na sisi tunaoenda kuanza mwaka wa kwanza itakuaje, Tibaijuka uko wapi mama mwenzetu unakula mboga ya milioni kumi wkt dada zetu na kaka zetu ya mlo mmoja tu inawashinda.Tanzania ni nchi moja yenye amani lkn ina mambo.Watoto wa masikini tutakoma.