UDOM-Non Degree Prospectus?

Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
7,578
7,281
Naamini UDOM ni chuo kimoja kikubwa hapa Tanzania na kinatoa Certificate and Diploma (non degree) programs nyingi. Kinacho nishangaza ni wana Graduate prospectus, Undergraduate Prospectus lakini hawana prospectus inayo cover hizo non-degree programs. Sijui TCU au NACTE nao wanalionaje hili. Naamini prospectus ni kitu muhimu na inahitajika kama nyenzo moja ya quality control na muongozo wa msingi kwa wanafunzi na wazazi.

Niombe UDOM na vyuo vingine ambavyo vinakosa prospectus walifanyie kazi hili na TCU na NACTE wahahakishe vyuo vinakuwa na prospectuses ambazo ziko up-to date.
 
Hivi UDOM/TCU hampiti humu, basi nitawatwangia moja kwa moja kuonyesha kukereka kwangu.
 
Back
Top Bottom