UDOM na tarehe ya kuripoti mwaka wa kwanza

AGAPE BOY

Senior Member
May 24, 2015
194
159
Wakuu kwa anaejua tarehe rasmi ya kuripoti chuoni kwa wale wa mwaka wa kwanza pale UDOM atujuze maana kuna fununu fununu nyingi mwishowe tunapotea
Msaada tafadhari
 
Mbona sijaona kuhusu sisi first year?
Hilo tangazo lipo in general ww first year unachosubiria ni admission letter ndo muhimu na watatoa soon kwa sasa wanafanya kazi ya kuandaa hizo form..check me 0625641036...nikuweke kwenye group la UDOM
 
Iv udom huwachukua mda gan kuachia majina ya second batch
Maana vyuo vingne ving vimetoa alaf mpaka leo n kimya tu
 
Back
Top Bottom