wewe ndio unaonekana hatari!
unajua TCU imepeleka majina vyuoni lini?? na hao ict wa UDOM unajua wanakazi ngapi, wa upload data na barua za wale walio chaguliwa 1st round hapohapo wa upload na majina ya walio chaguliwa 2ns round au unadhani ni ku click enter majina yana display on the website???
Halafu watanzania sijui tunaugonjwa gani wamesha toa taarifa kua majina yata be uploaded mid next week au hujaona hilo tangazo???
kua mvumilivu mkuu Chuo lazima uende, ondoa shaka kijana