UDOM kuna urasimu mwingi

UDOM kuna urasimu mwingi

Joined
Dec 6, 2016
Posts
41
Reaction score
24
Nilisoma UDOM katika college ya Natural and Math science, Bsc Physics. Baada ya kuona haina tija katika maish yangu nikaacha.

Nilichogundua nikwamba Chuo cha UDOM kipo kwa ajili ya urasimu na sio academics, ndio maana hakitoi wasomi bora.
 
Urasimu kivipi??
 
elezea vzur mkuu,sasa iyo dgree ako ulosoma inahusisha vp urasimu?
 
disco hoyo. eti nilisoma nikaacha! hahahaaaaha
 
College ya natural science disco nyingi kwahyo kijana itakua nawe ni mhanga wa hli wazee wa statistics wahindi hamuwaelew polen
 
Na sasa hivi wameletewa walimu wa urusi ndo hawaelewi kitu kabisa
 
Alidisco sio? hhh hhh. chuo siyo msenge na hiyo Bach ulikuwa unafanya mgh. sishangai.
 
akili za viazi huwa hazibadiliki, step up brother, tafuta kitu kingine andika kwanza kwenye karatasi, hakikisha ni cha maana halafu post humu
 
akili za viazi huwa hazibadiliki, step up brother, tafuta kitu kingine andika kwanza kwenye karatasi, hakikisha ni cha maana halafu post humu

True boy,,, hii ni forum ya watu waliotahiriwa brain,,,,
 
Back
Top Bottom