Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,726
- 1,989
- Thread starter
-
- #61
nikiwa nafuatilia mitaala ya Vyuo vingi vya ya Ulaya, nilikuta wanafundisha professional course; yaani mtu anafundishwa namna ambavyo atafanyia kazi anachokisoma hivyo akitoka chuoni hata kama hajafanya practical, yupo tayari (professional) kufanya kazialiyoisomea kwa zaidi ya 85%
Hapa kwetu vyuo vingi vinafundisha kwa mfumo wa academic course ina maana anayeweza ku kremu ndiye anafaulu; Practical zenyewe za kuunga unga; Kimsingi academic course hazipo applicable kufanyia kazi bali kujibia mitihani
Umenikumbusha PhD ya Waziri wa madini . Doto Biteko na Bado Kurwa Biteko naye nape yake March 2022 hapo hapo UDOM.
Kuna mtu Anaitwa Prof Bee huo uprofesa wake naye ni mgogoro.
Mbona products husika wameshindwa kuzindua umeme JNHPP kule Mto Rufiji na treni ya SGR? Taaluma yenu ipo tu kwa ajili ya kuposti selfie Fesibuku na Insta?Maybe mzumbe ya kuanzia 2015 kurud nyumba
Ila mzumbe ya miaka hii huwez kucompare na miaka hiyo ya nyumba
Siku hizi had maboga yanaenda kusoma mzumbe
Taifa limepoteza bure rasilimali zake kukusomesha.Wenye akili na uwezo tupo mtaani hatuna koneksheni, hao mliowaajiri kwa michongo ndo wanawapa tabu sasa.
Nchi ngumu hii.
Wenye akili na uwezo tupo mtaani hatuna koneksheni, hao mliowaajiri kwa michongo ndo wanawapa tabu sasa.
Nchi ngumu hii.
Mbona products husika wameshindwa kuzindua umeme JNHPP kule Mto Rufiji na treni ya SGR? Taaluma yenu ipo tu kwa ajili ya kuposti selfie Fesibuku na Insta?
Taifa limepoteza bure rasilimali zake kukusomesha.
Elimu kama uvuvi si kila mtu atatoka na samaki wakimaliza 100 unawwza kukuta 10 tu ndio wapo vizuri sana 40 kiasi 50 wengine wamepata cheti lakini maarifa kidogo inategemea na mtu husika
Bee alikua Makamu Mkuu wa MOCU?Umenikumbusha PhD ya Waziri wa madini . Doto Biteko na Bado Kurwa Biteko naye nape yake March 2022 hapo hapo UDOM.
Kuna mtu Anaitwa Prof Bee huo uprofesa wake naye ni mgogoro.
YesBee alikua Makamu Mkuu wa MOCU?
UDOM ni janga Ia kitaifa. Chief Hangaya soon atakwenda kupewa PhD pale.Kwa hiyo, mnataka kusema PhD za You-Do-M hazina tofauti na umeme wa REA?
Yes. We need a well-educated president! Haiwezekani president hana udokta, then anawaongoza na kuwaajiri watu wenye taaluma zao. Shame! She should work on her PhD as soon as possible. Labda tozo zitafutwa na mikopo ya michongo na madili haitagharikishwa tena nchini.UDOM ni janga Ia kitaifa. Chief Hangaya soon atakwenda kupewa PhD pale.
Now yupo wapi?
Ni ujuzi gani mwahitaji mkuu??Hahahahha njoo tukupe kaz
Kama na wewe umesoma basi kwako ndo taifa limepoteza rasilimali zake.Taifa limepoteza bure rasilimali zake kukusomesha.
Kwa hiyo, mnataka kusema PhD za You-Do-M hazina tofauti na umeme wa REA?