Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,848
Kuna daraja la Nyerere, uwanja wa ndege, chuo, barabara na kwaya n.k, siyo vibaya tukimpa haki yake.Ana Hospital ya Moyo ipo kwa Jina lakee.
Ni heshima mkuu, mbona kuna Mandela university?What is wrong if it is called University of Dodoma? Sounds good, all the plans were there even before JK.
Overall ukiwa Rais hii ya kujenga infrastructure ni moja katika kazi zako.
Ndiyo unafiki wetu, MO anapambana uwanja wa Taifa uitwe Mkapa lakini alipokuwa hai hakupambana.Waasubiri age ndio wakiite hivyo
Sio lazima.Ni heshima mkuu, mbona kuna Mandela university?
SawaSio lazima.
Mkuu chuo hicho ni kati ya vyuo bora kabisa, hivyo ni heshima kumpa JKAcha mambo yenu, Hivyo vitu walivyojenga siyo vyao binafsi, ni kodi za wananchi, hawako entitled kupewa majina
Ila uwanja wa mpira wa Taifa kwa heshima maalum ya mzee BWM aliyetangulia mbele ya haki, hilo naunga mkono uwanja uitwe jina lake kwa sababu katutoka.
Japo natambua, JK alijenga hospitali kubwa ndani ya UDOM na kuipa jina la Benjamin William Mkapa mwaka 2015,
lakini siyo busara kila kitu kipewe jina la watawala
Mkuu chuo kilijengwa wakati wa utawala wake, ni heshima ambayo tunatakiwa kumpa JKUna uhakika Jakaya Kikwete ndiye aliyekijenga? au ndiye aliyekipanua na kuongezea eneo pia na majengo kwanini kuna Hospital ya Ben Mkapa.
Chuo cha zamani sana, kimeanza na Jengo moja, sikatai lakini ongeza sababu, isije ikawa kama huko Ulaya, Marekani, na hata Malawi wanaangusha masanamu, majina ya mitaa nk, kisa hawakujipanga
Hata Daraja la Kigamboni linatakiwa kuitwa Jakaya Kikwete Bridge.Natoa pekendekezo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kiitwe Jakaya Kikwete University sababu ni miongoni wa chuo kikubwa sana hapa Tanzania na Afrika Mashariki. Hii ni heshima kubwa kwa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kwa kujenga Chuo Kikuu kikubwa na kupanua elimu hapa nchini, pia tusisubiri mtu aondoke ndiyo tuanze kusifia tumpe haki yake akiwa hai.
Naomba kuwasilisha.
Kabisa mkuuHata Daraja la Kigamboni linatakiwa kuitwa Jakaya Kikwete Bridge.
Haikua sahihi kuliita nyerere hana mahisiano naye
Sent using Jamii Forums mobile app