Ni wiki moja sasa imepita tangu chuo kifunguliwe lakini bado wanafunzi hawajapata pesa yao ya mkopo has wananafunzi wa mwaka wa 2 na wa 3.
Wanafunzi wa kitivo cha elimu walimbana rais wao aitwaye Machumu na akatoa jibu kwamba kufikia kesho saa tano wanafunzi wote watakua wameingiziwa hela zao.
maswali:
Kwanini hakuwajulisha wanafunzi mapema kua ifikapo saa tano wataingiziwa hela zao hadi walipo mbana?
Je!Huu si uongo na uzushi?

Rais wao aunde tume ya watu 10 wafatilie wapi hela zimekwama.
Haya matatizo yataisha lini?
Just whats wrong with udom!!?