UDOM haina soko Tanzania?

UDOM haina soko Tanzania?

Mimi nahisi tuliangalie hilo kwa mtazamo tofauti,ingawa mleta Uzi ameandika Uzi wake pengine kwa namna isiyo na staha.
UDOM Ina matatizo kadhaa kimfumo,kwa mfano inatoa kozi(course) kadhaa ambapo wanafunzi wake hawapati mafunzo kwa vitendo(field attachments) kwa kipindi chote cha miaka mitatu,vilevile kozi nyingi zinahitimishwa bila uandikaji wa tafiti(research,dissertation)ambazo zingekuwa na msaada mkubwa katika kutafsiri elimu ya darasani katika maisha halisi.Ninatoa mifano michache ya kozi zisizo na mafunzo kwa vitendo ,kozi nyingi katika shule ya sayansi ya jamii(college of social sciences and humanities-school of social science) kozi hizi ni kama ifuatavyo:-B.A in Public Administration,B.A in Political science and Public administration,B.A Socialogy,etc
Vile vile wengi wa wahadhiri (lecturers) wana shahada moja ambao naamin wanapaswa kuwa Tutorial Assisatnts,lakini kweli UDOM hawa wanafundisha kozi,sasa kwa mazingira haya si hisi kama kuna ufanisi,ni kozi chache sana zenye wahadhiri wenye shahada ya udikatari wa falsafa (directorate of philosophy) ua wenye hadhi ya uprofesa.Pengine hili ni tatizo la vyuo vyetu vingi lakini UDOM haikupaswa kuchukua idadi kubwa ya wanafunzi ambayo imekua ikichukua.
Tunapoficha uchi hatutaweza kuzaa,tusiyafiche matatizo yaliyopo UDOM,UDOM inatatizo kubwa la kimfumo na kitaasisi hadi hapo yatakaposhughulikiwa ,kwa sasa tutakuwa tunatoa wataalamu wasiokidhi baadhi ya matarajio yetu kama taifa au mtu mmoja mmoja.
 
mwaka sasa tangu wanafunzi wamalize vyuo vikuu. wengi wa wanafunzi wa UDOM wapo nje na hawana ajira.
Kila interview wanayofanya wanajikuta wanatupwa nje

ukapime malaria kwanza ukimaliza dozi uje hapa na data zenye ukweli.
Hii thread inaonesha bado una "kishule-shule syndrome"
 
hatimae ID ya malaria sugu yaachiwa
 
Vijana watasota sana na hizi fikra za ukusoma lazima uajiriwe!! Ila UDOM kama wanzingua hivii!! maana hizi kwele ni nyingi nmo.
 
Mimi nahisi tuliangalie hilo kwa mtazamo tofauti,ingawa mleta Uzi ameandika Uzi wake pengine kwa namna isiyo na staha.
UDOM Ina matatizo kadhaa kimfumo,kwa mfano inatoa kozi(course) kadhaa ambapo wanafunzi wake hawapati mafunzo kwa vitendo(field attachments) kwa kipindi chote cha miaka mitatu,vilevile kozi nyingi zinahitimishwa bila uandikaji wa tafiti(research,dissertation)ambazo zingekuwa na msaada mkubwa katika kutafsiri elimu ya darasani katika maisha halisi.Ninatoa mifano michache ya kozi zisizo na mafunzo kwa vitendo ,kozi nyingi katika shule ya sayansi ya jamii(college of social sciences and humanities-school of social science) kozi hizi ni kama ifuatavyo:-B.A in Public Administration,B.A in Political science and Public administration,B.A Socialogy,etc
Vile vile wengi wa wahadhiri (lecturers) wana shahada moja ambao naamin wanapaswa kuwa Tutorial Assisatnts,lakini kweli UDOM hawa wanafundisha kozi,sasa kwa mazingira haya si hisi kama kuna ufanisi,ni kozi chache sana zenye wahadhiri wenye shahada ya udikatari wa falsafa (directorate of philosophy) ua wenye hadhi ya uprofesa.Pengine hili ni tatizo la vyuo vyetu vingi lakini UDOM haikupaswa kuchukua idadi kubwa ya wanafunzi ambayo imekua ikichukua.
Tunapoficha uchi hatutaweza kuzaa,tusiyafiche matatizo yaliyopo UDOM,UDOM inatatizo kubwa la kimfumo na kitaasisi hadi hapo yatakaposhughulikiwa ,kwa sasa tutakuwa tunatoa wataalamu wasiokidhi baadhi ya matarajio yetu kama taifa au mtu mmoja mmoja.

Hao wataalamu wa Udsm wameshalifanyia nini taifa hili? Kama hata wanaokarabati uwanja wa taifa ni wachina! Hata wembe hawajawahi tengeneza! Mawaziri zigo wanaotajwa na kinana si Udsm ndio imewaandaa! Jisifuni na kwa hilo pia kwamba watendaji wa serikali wamesoma Udsm na wanaonekana mizigo kwa walipakodi! Sasa walaumiwe wao au chuo walichosoma? Ukipata jibu rudi mleta uzi urekebishe kauli zako.
 
Nimeamini Mti wenye matunda unapigwa Mawe,tulijadili swala la udom kwa vivid examples nipo hapa kujibu hoja zenu karibu sana
 
New una mawazo mgando ndgu samahan kama utakua ume mind au la bt uhandis siyo lazma uwe umepga dvsn 1,mimi bnafsi sjawah pata dvsn 3 bt kuna watu walpga dvn 3 o level na advnc na ni wahandisi watata tu,,,,jipangee upo rigid for nothing
 
Chuo cha kata.Nenda jalalani jina lina wabeba.
 
Back
Top Bottom