Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,582
misaa!
wadodo??????
misaa!
University ya kata!
mwaka sasa tangu wanafunzi wamalize vyuo vikuu. wengi wa wanafunzi wa UDOM wapo nje na hawana ajira.
Kila interview wanayofanya wanajikuta wanatupwa nje
Umelianzisha tena! Subiri wenye chuo chao wakuonyeshe kazi!
Btw: Kama Udom ndio hivyo what about chuo cha kina faizafox?
Basi ukiwa ofsi moja na wanafunzi waliomalz Udom, masikini wanatia huruma. Kwanza huwa hawajiamini na badala yake hujifanya wanajuuuuuuuua, ukiwachallenge kdg tu kwishney. Huu ni ukweli mtupu kuwa is a university kata!

nadhani hauko ofisi moja na mwanafunzi kutoka CIVE-UDOM,kama uko naye kakudanya sio from UDOM.Nenda kaulize Nyerere airport,TCRA na CRDB nadhani wanawafahamu vizuri wanafunzi kutoka informatics UDOM zaidi yako.Basi ukiwa ofsi moja na wanafunzi waliomalz Udom, masikini wanatia huruma. Kwanza huwa hawajiamini na badala yake hujifanya wanajuuuuuuuua, ukiwachallenge kdg tu kwishney. Huu ni ukweli mtupu kuwa is a university kata!
mwaka sasa tangu wanafunzi wamalize vyuo vikuu. wengi wa wanafunzi wa UDOM wapo nje na hawana ajira.
Kila interview wanayofanya wanajikuta wanatupwa nje
inakuaje mwanafunz ana division 3 anasoma uhandisi?Kwani ndo unajua leo????.........chuo wanachoenda wanafunzi waso akili
mwaka sasa tangu wanafunzi wamalize vyuo vikuu. wengi wa wanafunzi wa UDOM wapo nje na hawana ajira.
Kila interview wanayofanya wanajikuta wanatupwa nje
ungekua una uelewa mzuri juu ya ajira za vijana wanao hitimu vyuo vikuu hapa Tanzania ungeziba mdomo wako,,think big co unakurupuka 2 ilimradi uenakane ume2pia uzi JF,,nna marafiki zangu wengi 2 wamemaliza sua na udsm wanaranda mtaani hadi wngne wanaamua kutafuta scolarshp kuendelea na masters,,,,,pia ujue udom inatoa wanafunzi wengi sana,,usikute idadi ya wanafunzi unao/uliowaona ni ndogo kuliko ya wale ambao wamekwisha ajiriwa,,,xo usijisemee hovho bila kufikiri unachotaka kupost apamwaka sasa tangu wanafunzi wamalize vyuo vikuu. wengi wa wanafunzi wa UDOM wapo nje na hawana ajira.
Kila interview wanayofanya wanajikuta wanatupwa nje
mwaka sasa tangu wanafunzi wamalize vyuo vikuu. wengi wa wanafunzi wa UDOM wapo nje na hawana ajira.
Kila interview wanayofanya wanajikuta wanatupwa nje
Hahahaha......acha umbwesenge ww! acha kudis chuo cha wenzio kihivyo...though nasoma ud but naona kawaida tu....mm nimepiga field na wanafunz wa udom...guys they know wat they are doing....wako competent kuliko au sawasawa na sisi wa ud...mnawakashfu bure af watanzania ndo zenu full mawivu tu....na kwa jinsi navyoona udom baada ya miaka ka 5 hv itakuwa the best in town...ud achani hzo! viroho vinawauma