UDOM haina soko Tanzania?

UDOM haina soko Tanzania?

mwaka sasa tangu wanafunzi wamalize vyuo vikuu. wengi wa wanafunzi wa UDOM wapo nje na hawana ajira.
Kila interview wanayofanya wanajikuta wanatupwa nje

Kwani udomu nacho chuo si bora hata amazoni koleji
 
We mse*** unasema wengne wamekua walinz afta their rturn from russia kwa ulinzi si kazi!! I think u thnkg capasity ina ram 2kb
 
Kilianzishwa pasipo kujua kwanini kimeanzishwa sasa kimeishia kuwa cha siasa alafu ishu nyigine ni itikadi za kiimani zinazosemekana kuwepo pale kama ni kweli na tukifanya ka utafiti tu kidogo tutagundua hiki chuo kinadrop status yake ...pesa hii ilikosa waelekezi wazuri namna ya kuitumia tumeishia kujenga bwalo lisilo na faida.
 
Udom ni chuo kizuri tu na ajira zipo wala wanaUDOM msikatishwe tamaa ingawa mimi ni wa udsm ila nawathibitishia ajira zipo kama ukifaulu vzr.
 
unawaza tu UDOM ukilala udom ukiamka udom, ukila udom ,ukitoka kuoga udom, ukiharisha udom, ukikojoa udom, kila kitu udom ..

Rubbish............... mida
 
Sio kweli wapo wana weng wameajiriwa na wamesoma hapo hapo
 
mwaka sasa tangu wanafunzi wamalize vyuo vikuu. wengi wa wanafunzi wa UDOM wapo nje na hawana ajira.
Kila interview wanayofanya wanajikuta wanatupwa nje

Haustaili hata kutukanwa na kama ungekuwa mwanamke haustaili hata kusutwa ila nakuombea mungu akupe busara na kuwadhamini wenzako na kuacha unafiki, uzandiki na uwongo mkubwa.
 
Back
Top Bottom