mwaka sasa tangu wanafunzi wamalize vyuo vikuu. wengi wa wanafunzi wa UDOM wapo nje na hawana ajira.
Kila interview wanayofanya wanajikuta wanatupwa nje
oya micharazo acha matusi 2nataka hoja, kwanza dada yangu aliaply thru UTUMISHI then akapata post hata ivo i have my anko ni chief accountant pale ardhi please ucnichokoze!
Kilianzishwa pasipo kujua kwanini kimeanzishwa sasa kimeishia kuwa cha siasa alafu ishu nyigine ni itikadi za kiimani zinazosemekana kuwepo pale kama ni kweli na tukifanya ka utafiti tu kidogo tutagundua hiki chuo kinadrop status yake ...pesa hii ilikosa waelekezi wazuri namna ya kuitumia tumeishia kujenga bwalo lisilo na faida.
mwaka sasa tangu wanafunzi wamalize vyuo vikuu. wengi wa wanafunzi wa UDOM wapo nje na hawana ajira.
Kila interview wanayofanya wanajikuta wanatupwa nje
Haustaili hata kutukanwa na kama ungekuwa mwanamke haustaili hata kusutwa ila nakuombea mungu akupe busara na kuwadhamini wenzako na kuacha unafiki, uzandiki na uwongo mkubwa.