Udom haina mmliki.

Shaycas

JF-Expert Member
Feb 13, 2009
906
110
Katika hatua ya kushangaza CAG alisema katika ukaguzi wake amebaini kuwa majengo ya Chuo
Kikuu cha Dodoma(UDOM) hayajulikani yanamilikiwa na nani kati ya Serikali na mifuko
ya hifadhi ya jamii iliyotoa fedha za ujenzi.
Utoah alifafanua kuwa mifuko ya hifadhi za jamii
inafahamu kwamba fedha zilizotumika kujenga
majengo ya chuo hicho zilikuwa mkopo kwa
Serikali wakati Serikali kwa upande wake
inatambua kuwa fedha hizo zilikuwa ni uwekezaji
wa mifuko hiyo.
SOURCE: Gazeti la Mwananchi ,13/4/2012
 
Je! Ndiyo sababu Chuo kinakabidhiwa majengo yenye ubora wa chini? No one is accountable.
 
Ukweli ni kwamba legacy of UDOM ipo tu, na inatambulika. Chuo ni kizuri sana, ila kina matatizo ya wazi kabisa. Hilo la kutojua mmiliki linaweza kuwa chanzo cha kuwa na majengo yasiyo na ubora. lakini pia kuna mambo ya 10%.:help:

Shida ni kwamba kwa kweli tunahitaji mabadiliko pale, ili tuweze kwenda vizuri. Serikali haichukui hatua.sijui ni kutokuwajibika au ni nini? mimi cjui:wave: Haya bwana ya UDOM tunamuachia Prof. Mlacha.
 
Mkuu unaji contradict. Unasema legacy ipo, chuo ni kizuri halafu unatuambia ubovu wa mlacha, 10% tena? Uko upande gani?
 
kimsingi Matatizo ya UDOM ni mengi na inasikitisha kwani yapo wazi, nadhiriki kusema yanasabaishwa na kiburi cha viongozi wakuu wa chuo kwani wanafikiri aliyewaweka anawalinda. swala la majengo yanapendeza kwa monekano wa nje lakini kiukweli majengo mengi yananyufa za kutisha labda tuombe lisitokee tetemeko hata lenye scle ya 0.000005 maana itakuwa ni balaa. kinachoendelea kwa sasa nikunyamazisha wafanyakazi na wanafunzi kwa kufukuza kinyume cha sheria kwa kila atakayetoa sauti inayopinga udhalimu wao nikufukuzwa. kwakweli inasikitisha kwani mambo mengi yanayowaumiza wafanyakazi mfano swala la wafanyakazi wanapandishwa vyeo bila kupewa stahili zao.kwa kweli kwamwenendo huu UDOM inahitaji uongozi wenye masilahi ya kujenga nje yetu na sio wenye kuleta udhalimu kwa maslahi yao.
 
Aaah,ngoja kwanza nipate Sereneti baridiiiii,nitarudi badae maana kuongolea mambo ya UDOM lazima uwe na kichwa cha mwenda wazimu!!!!
 
Udom chuo cha ovyo sana,utakuta kozi ya miezi minne inafundishwa kwa wiki mbili!Ni chuo kinachoongeza vilaza Tanzania.
 
Back
Top Bottom