Wengi hapa ndo mnapokosea na nilisema usipozizoea hizi.changamoto utakata hata tamaa ya kusoma mwisho wa cku.unafeli!ni vyema kukabiliana na.mazingira unapofika sehem flan ikiwemo kulifikisha kwa viongoz wako c busara kutangaza huku ili iweje cjaona mantiki ya mtoa mada kuliongelea hili huku!! hayo ni.matatizo ya kawaida hata ukienda vyuo vyengine! !wanafunzi wa udom tunadharauliwa kwasabab hatujiamin na.kujiona sie tu ndo wenye matatizo.kuliko vyuo.vyote hapa tz!!cdhan kama tatizo la maji lipo udom tu peke ake!!fika vyuo vyengine hapa tz tembelea vyoo halaf urud hapa useme na uniulize kwanin wao wananyamaza kimya tena udom ina afadhali sanaMpaka ninavyoandika huu uzi, hapa UDOM education hakuna aliyeoga wala kujisaidia, kama kuna mtu basi hajaflashi, na hii ni kawaida sana hapa UDOM mtu kutoflash, si wanawake si wanaume wote tushazoea mambo haya maana hata ukimuuliza akikwambia umpe maji utamjibuje? UDOM maji hakuna halafu hakuna vyoo vya nje, ni shida.
Baadhi ya wanafunzi wamekuwa wabunifu kwa kuandaa utaratibu wa Kujisaidia kwa pamoja (yaani COLLECTIVE PEEING), yaani mnajiorganize chumba kizima mnaenda kujisaidia asubuhi, wa mwisho ndiye atakayeflash, hivyo kujikuta mmetumia ndoo moja ya maji watu wanne.
Hakuna anayeona kama hili ni tatizo linalotakiwa kutatuliwa kuanzia utawala hadi uongozi wa wanafunzi hakuna anayejali
NB: Kama kuna mtu anabisha aje sasa hivi hapa
UPDATE:
Kuna msela kakata gogo bafuni nusu saa iliyopita. Wakuu hali tete!!
bloc p,t,q na o hali ni tete. vyoo vimeziba hakuna anayejali. auncle Magu ni zamu ya UDOM njoo a see...
ndo maana nakizarau sana hiki chuo kuanzia wanafunzi wake hadi elimu inayotolewa hapo
Umesoma chuo gani?
Anasemaga kasema udsm ila akili zake zinaonesha kama kasoma chaurembo training college
ndo maana nakizarau sana hiki chuo kuanzia wanafunzi wake hadi elimu inayotolewa hapo[/QUOTE
unaijuaa shule ya udom wewe,,
wewe ndo mpuuzi kweli wewe matako yako kama ya ngedere