Udom best

Udom best

Mh oky HV unaweza kunambia kwa kifupi jinsi cz hyo ilivyo na fursaa zake
Of course ina fursa nying maan ni multi course ina jumuhisha mambo, mfano mtu anayesom BA international relation, BA adminstration na BA philosophy, ww wa PSPA ndo mama wa course, pia unawez ukagoogle ukacheki Careers related to PSPA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimechaguliwa course inaitwa BA IN HISTORY apa udom,lakini siifahamu vizuri naomba mtu anipe mwangaza kabla sijafikiria kuitema hahahah
 
Nimechaguliwa course inaitwa BA IN HISTORY apa udom,lakini siifahamu vizuri naomba mtu anipe mwangaza kabla sijafikiria kuitema hahahah
Mkuu hiyo ni shahada ya sanaa katika historia.Kwa hyo utakuwa mtaalam wa historia but haiusiani na ualimu.Ila sikushauri usome hyo kozi kwani haina soko
 
Ndugu usiwatishe wenzako department ya pspa ipo shwari kwa mtu ambae anaesoma ila kama husomi, home kunakuita

Karibuni wapendwa
 
Back
Top Bottom