this did not just happen by chance, it was deliberate! Yaani waislam kukaa wizara moja namna hii msije mkadhani ni random selection, huu ni mpango mahsusi.
sijafanya uchunguzi kuona kama pia kuna wakristo katika wizara nyingine, yawezekana wapo lakini haitakuwa nyeti. Watakuwa wamewekwa kwa lengo la ku-counter, kama jibu la kujihami siku wakristo wakilalamika waislam kukaa wizara ya elimu, lakini kimsingi wizara watakayopewa (kama ipo) haitakuwa na maslahi ya moja kwa moja kwa kikundi au mtu kama ilivyo wizara ya elimu.
Kikwete anacheza! Umwinyi wao ndio uliowafanya wasipeleke watoto shule na siyo wakristo waliowazuia. Wamshukuru sana nyerere (mkristo)kwa kuamua kutaifisha shule za makanisa na kuzifanya za serikali vinginevyo leo tungekuwa tunampata mmoja katika ishirini.
wafanye lolote lakini wajue yesu ni mungu na kamwe hajawahi kushindwa vita!
Swali la msingi Naibu waziri Gaudentia KABAKA yuko wizara ya elimu jee ni mkristu? kwanini hakumtaja kwenye orodha ya watendaji wa wizara au una ajenda yako ya Ukristu?
Naomba umuulize JK kwanini ofisi ya waziri mkuu watendaji wote wakristu.waziri mkuu Pinda anasaidiwa na mawaziri Marmo na waziri Celina kombani.Katibu mkuu na wakurugenzi wote ni wakristu BADO SPIKA NA KATIBU WA BUNGE KASHILILLAH AKIWA NA KURUGENZI ZA BUNGE ZENYE WAKRISTU WATUPU KAMA KINA NOMBO AMBAYE NI DAP WANATOA AJIRA ZOTE KWA WAKATOLIKI,MAMA MAKINDA NAE KUNDI HILO HILO,.ajira za TAMISEMI wanapewa wakristu watupu.PINDA ALIPOKUWA WAZIRI TAMISEMI watendaji wa wilaya zote asilimia tisini walipewa wakristu. ulikuwa wapi kumuuliza JK swali hilo?
hakuna siri kuwa mkakati uliopo ni kuhakikisha nchi inasilimishwa bila watu kujua. Nchi hii ni kama kokoro kubwa ambalo wavuvi wamekaa pande mbili za kokoro. Wanalivuta polepole kuelekea kwenye nchi ya kidini ili siku moja iweze kuendeshwa kwa mujibu wa sharia za mtume. Ila wabongo hususan christian are merely sleeping while their colleagues are working in a positive direction to their religion. Waislamu tuishi kitanzania tuache mambo ya dini . Muache hiyo roho mbaya. Tuache uhuru tuliuufurahia miaka 50 iliyopita. Kuamini na kuabudu popote mtu atakapo. Kushabikia na kutoa zawadi kwa vijana wenu wanaooa au kuolewa na wakristo na kuwasilimisha siyo jambo la heri . Hakika afanye hivyo mahali pake ni jehanamubora umeyasema wewe, maana tungeyasema wengine wangesema unaona huyu mtu ni matatizo matupu. Na ndio maana huko nyuma niligusia suala la wanawake.
Samahani, nilikuwa msikitini. Sasa nimerudi na nitajibu hoja zenu haraka iwezekanavyo.
Matatizo yetu ni mengi katika hili, tokea jinsia, ukabila, dini na walemavu (ikiwa pamoja na albino). Yanayotokea kwa albino hivi sasa si mageni. Tatizo hatujayapa kipao mbele matatizo yahusuyo makundi yanayoonekana kuachwa na gari moshi. Tukiyaangalia haya ndio tunawezaq kujivuna na amani iliyopo, kuwa ni ya kudumu.
Tatizo lililopo sasa hivi, ukizitoa hizo takwimu utaitwa mara una ukabila mara una udini n.k. Na hutakuta hata siku moja watu wenye kuaminika humu jf kutoa hizo takwimu. Eti watakwambia hazipo. Alikueleza nani? Takwimu zipo lakini zinaleta aibu ndugu zanguni. Na ni lazima tuziseme na kuzishughulikia.
Tuna shiria la takwimu la serikali linazo hizo takwimu, ila zinauzwa ili waweze kujiendeleza. Ukitaka nenda huko utapata takwimu zote. Hakuna ugumu wowote ule wa kujua eti wizara ya elimu ina wafanya kazi wangapi, na kati yao wakristo ni wangapi na wislamu ni wangapi. Mwaka 2001 walipitisha sensa jeshini, na kujua ni makabila gani yanaongoza kwa wingi huko.
Intergration, tanzania imefeli, na tukitaka kuondoa udini na ukabila ni lazima tuimarishe kitengo hiki.
Nataka cku nione zanzibar rais ni mkristo.co kila wakati wao 2.
hivi huyo kadhi kazi yake ipi au mtaanzisha mtaala mpya wa ukadhi hapa taz. Kinachoshangaza kama kweli ukdhi ni wa kidini kwanini msiuendeshe kwa stahili ya vyombo na tasisi nyingine za dini mteuane muendeshe huo ukadhi acheni kuingiza ukadhi kwenye katiba kwa nguvuacheni ushamba na upofu b4 akina membe walikuwa wakiongoza wakiristo wengi wengi 2,ila waislamu wali2lia hakuna aliyesema ubaguzi wa dini coz sifa za kuongoza walikua nazo though walifanya upendeleo kwa saana 2 mpaka wa2 wakaamini dat waislamu wako nyuma kielimu bt sasa wako muslims mnapiga domo mnachotaka mpewe ninyi favour za bure, hiko kitu hakuna! Mwenye sifa na vigezo ndoatapewa hata mkiwa ninyi ni wengi o cc,mbona last year waliopata scholarshp wengi ni christians mlickia muslimz wakileta mambo ya ajabu? Acheni kuchochea vurungu mnachotaka hasa ni nini? Kuweni wazi msipitie vichochoroni
na jakaya anatimiza wajibu wake kama raisi hii ni serikali ya kidemokrasia wananchi wanatakiwa kupewa haki zao za msingi mojawap ni haki katika kuabudu,xo mahakama ya kadhi ni katk haki ye2 ya msng n co udini kama msemavyo,je unataka 2cpewe haki yetu?, then ninyi ndio wenye udini.
Nijuavyo mimi huko nyuma kulikuwa na kamati maalum iliyokuwa inakaa na kujadili hizi scholarships ikiwemo shortlisting ya applicants mpaka award. Lakini kama ni kweli katibu mkuu amegeuka kuwa ndo kamati peke yake na kufanya maamuzi yote peke yake ni tatizo kubwa na halistahili kufumbiwa macho.
Transparency is the most important thing. kama katibu mkuu anafanya kazi nyeti kama hii peke yake ni hatari!! anaweza kujaza majina ya ndugu zake watupu au waislamu watupu.Acheni kuzungumza upumbavu......njooni na data hapa.
Ni wanafunzi wangapi wamepata schorlaships??????na kati yao hao
wangapi ni waislamu????????
no research no right to speak!!. Kama hujafanya uchunguzi kwanini ulalame?again umesema yesu hajawahi kushindwa vita, mbona alisubiwa msalabani kwa imani yako?kama yeye ni mungu alishindwa kuzivuia viumbe vyake visimsulubu?mungu gani anasalimu amri kwa wanadamu? Soma vizuri biblia.