MaMkwe unasubiri nafasi hadi ziwe ngapi ndipo useme 10?,..1000?,....Milioni moja? hizo hizo tatu zinatosha kwa mtu mwenye busara kuona taifa linakoelekea, ukabila Kenya au udini Somalia, Sudani haukuanza na watu elfu kumi, kwa hiyo kama unaona mbegu mbovu inapandwa na unanyamaza wewe ndiye utakayelaumiwa kwanza.Tupe majina ya viongozi wote wa CCM. Vinginevyo anaedai udini ndiyo mdini. Kwa kuona hizo nafasi tatu tu unatangaza kuna udini. Msituhabirie nchi kwa tamaa zisizo maana.
Naona UDINI umekujaa mpaka unakumwagika!
Udini unakumaliza kwa sana tu...! Pole kijana kwa udini wako!
hujakosea maana una mitazamo ya ilimu na ki madrasa sana
hapo hujaisumbua akili yako kuta kujua zaidi,
Unaposema huyu ni mdini, chama hichi ni cha kidini au wewe ni mdini inamaana gani?
kuwa na waislam wengi kuliko dini nyengine? kuwa na wakiristo wengi kuliko wengine? kuzungumzia uislam au kuzungumzia ukiristo?
THE National Executive Committee of the Chama Cha Mapinduzi (NEC-CCM) has proposed Ms Amina Nassoro Makilagi for the vacant post of General Secretary of the party's Women wing (UWT).
The statement signed by the Party's Publicity Secretary Mr John Chiligati said Ms Makilagi has been proposed to the wing's Executive Committee to replace Ms Husna Mwilima, who was recently appointed District Commissioner for Tandahimba District, Mtwara Region.
In another development, the Party also shortlisted Mr Harun Mkalimoto, Mr Juma Rajab Simba and Mr Salim Mwaking'ida for the post of Dar es Salaam Regional CCM Publicity Secretary.
It also approved Ms Mwajuma Athman Labia, Mr Alhaji Salim Simba and Colonel (rtd) Tajil Mwinchumu for the post of Shinyanga Urban District Party Chairman.
mbona husemi na huku kwa mawaziri?
1)burian, dr. Batilda salha
2) chikawe, mathias meinrad
3)chiligati, capt. John zefania
3) ghasia, hawa abdulrahman
4) kamala, dr. Diodorus buberwa
5)kapuya, prof. Juma athuman
6)kawambwa, dr. Shukuru jumanne
7)khatib, muhammed seif
8) kombani, celina ompeshi
9)maghembe, prof. Jumanne abdall
10) magufuli, dr.john pombe joseph
11)marmo, philip sang'ka
12) masha, lawrence kego
13)membe, bernard kamillius
14) mkuchika, capt. George huruma
15) mkulo, mustafa haidi
16)msolla, prof. Peter mahamudu
17) mwakyusa, prof. David homeli
18)mwandosya, prof. Mark james
19) mwangunga, shamsa selengia
20) mwinyi, dr. Hussein ali
21) nagu, dr. Mary michael
Hakuna kitu hapa yale yale utumbo na upupu....wakristo bana! kazi kwelikweli.
Tumain said:Hakuna kitu hapa yale yale utumbo na upupu....wakristo bana! kazi kwelikweli
Hata mimi ningeshangaa pia!Ungejibu tofauti na ulivyochangia NINGESHANGAA SANA........