Udini sasa mpaka kwenye Mapenzi

Me naona tangu zamani nilikuwa sitaki kbs mahusiano na demu wa kiislamu na ukweli ni kwamba tangu nizaliwe mpk sasa mwk wa 35 cjawahi ku-do na muislamu na ctothubutu. Nakumbuka wkt nipo chuo kuna mademu wa2 wa kiislamu walijilengesha lkn ckujaribu. Moja alivua hadi nguo gheto kwangu me nikachomoa.
Outcome ya ngono uwa ni mimba sasa me nizae na muislam si itakuwa kichekesho?
Kila mtu ana misimamo yake na huyo demu yupo sawa tu kummwaga jamaa.
 

Tuko pamoja mkuu
 
Last edited by a moderator:
Ni kutokujua kwa vijana wengi kwamba wanaweza kuwa wapenzi bila kujali dini zao, ukweli ni kwamba kama mwislam anamwita mkristo kafiri, basi si vema watu hao kuwa wapenzi. kadharika na mafundisho ya kikristo yanasema NURU NA GIZA HAVICHANGAMANI, basi hao wanaodai kupendana ama kuoana huku wana hizo tofauti za dini, wanaasi mafundisho ya dini zao na kufuata tamaa za miili yao
 

Yaani watu wawili ndio ume-generalise?? What about wakitokea watu 20 wakaeleza kinyume na ulichosema hapo? utasema nini? fanyeni utafiti wa kutosha. Acheni kukurupuka. Na nyie mliotoa "like" nina hakika mmemaliza form four 2012. Kwa hiyo sishangai.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…