Wengi hawatak kukubal ukwel huo..
haya mambo yalikuepo toka miaka sioni kinachofanya sasa kuingiza chuki ni nini mtoa mada kasome historia hata ya makabila kulikua na sehemu huezi oa mtu asiyetoka kabila lako..:.tunapenda kukuza mambo sababu hatupendi hata kusoma na kujua ukeli tunapenda kuropoka na story za kitaa kama kakuacha si usepe nn kuleta chuki humu.
Ni kweli Georgina. Viongozi wakuu wa dini wanapaswa wakae meza moja waondoe tofauti za dini wakiishirikisha serikali.
Hata hivyo huyo dada kimeo.
hapa mnaongelea udini au mapenzi?Mwislam ma mkiristo wapi na wapi? Hata kama baba yako anaishi-nasema wanaishi na si kuoana kwa sababu kuna mmoja ni kafli na hatambuliki kwa waislam-haiwezekani kabisa kakangu tena ni hatari. Zama za giza acha zipite.
Matatizo mengi sana tunajitakia wenyewe, kama una akili timamu na ukagundua ni vyema kuahirisha kuliko kuja kusema ningelijua. Nampongeza huyo mdada kwa asilimia zote. Sasa hivi ulimwengu unabadilika kwa kasi sana. TAKE CARE KABISA.
hivi viongozi wa dini wana role gani hapo? mnawapa mzigo tu hawa jamaa, issue ipo kwa wana siasa wenyewe, ni maoni yangu tu
Wajinga wanadharau Kaka..hali si shwari kabisa.
Well suala hapa sio udini na ndoa,suala ni pale mtu anaojibiwa majibu kama mm sipend wakristo coz ni wala nguruwe.,au mimi d
siwapend waislam coz ni wakatiri..hizo ndio hoja..lakin suala la ndoa ni lingine..
Sometimes uko realistic kwa kweli.
Dini ina nafasi yake.
dini ni kitu muhimu sana cha kuzingatia katika mahusiano,tunaweza ona kama jambo la kawaida lakin mwisho wa siku linaleta hatar kikubwa tafuta wa iman yako tu