Mbona wewe hujauwawa.? Au hapa Tanzania Kuna mtu kafa sababu ya dini tusikuze vitu. Ingawa ni kweli upo ubaguzi lakini niwa watu wachache,Tena dini zote mfano wakatoliki na wasio wakatoliki , au wasabato na walokole .Mwisho wa siku tunapigana vijembe maisha yanaendelea
Kwa waislamu wenye msimamo mkali ndugu ukikana dini yao wanakuchinja kama kuku. Tunahitaji ukombozi kutoka kwenye hizi dini zetu.Mimi nashangaa sana, eti mtu anamchukia mwenzake kwasababu ya imani, na niwe mkweli wala siyo kwasababu ya udini, nyie wenzetu waislam mna chuki sana.
Yaani unakuta eti mtu anamtenga kabisa mwanajamii mwenzake eti kisa dini[emoji15] hii dunia hii ngumu sana. Yaani wewe hata humjui mtume, yaan ni imani tu ambayo umeirithi kutoka kwa ancestor wako, tena pengine hata hao hawakumuona
Halafu eti dah unachachamaa kabisa....... lets take things easy guys destiny itasema kila kitu wakati sahihi utasema, believe what you believe let others do so. kwasababu wote ndo wale wale.
Udini unasababisha kupotea kwa maisha ya watu, unafarakanisha ndugu na kupelekea uadui baina ya watu, sasa kwann tufike huko? let's go easy.
Ohh! Dini gani hiyo?! Wallah!!Haujanielewa, umedandia tu....
Kwa sasa dunia inaishi kwa amani maana waislamu wengi hamfuati hayo maagizo mlioagizwa ya kuchinja wasio wa imani yenu.
Wachache wanaoyafuata ndio hutulipukia mabomu, amri zenyewe ziko bayana.
Verses that instructs killings in quran
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
Hapa JamiiForums Kuna Daily dose ya kutukana Waisilamu kila siku, hukosi thread 5 ama 10.Mimi nashangaa sana, eti mtu anamchukia mwenzake kwasababu ya imani, na niwe mkweli wala siyo kwasababu ya udini, nyie wenzetu waislam mna chuki sana.
Yaani unakuta eti mtu anamtenga kabisa mwanajamii mwenzake eti kisa dini[emoji15] hii dunia hii ngumu sana. Yaani wewe hata humjui mtume, yaan ni imani tu ambayo umeirithi kutoka kwa ancestor wako, tena pengine hata hao hawakumuona
Halafu eti dah unachachamaa kabisa....... lets take things easy guys destiny itasema kila kitu wakati sahihi utasema, believe what you believe let others do so. kwasababu wote ndo wale wale.
Udini unasababisha kupotea kwa maisha ya watu, unafarakanisha ndugu na kupelekea uadui baina ya watu, sasa kwann tufike huko? let's go easy.
Kama umekiri kosa basi wewe ni muislamu wa kuigwa.tusamehe
Fundi Seremala alikuwa dini gani ?Magaidi ndio yanauishi uislamu,mana kurwani imesema muislam ndugu yake muislamu,makristo na mayahudi na maadui namba moja,dini ya mudi ina shida mahali
Huyo jamaa usibishane nae ni wa huko kanda ya ziwa kwanza ni mkristo ila anajua kabisa ukristo sio dini😂😂 sasa hawezi kuslimu kwa vile yeye ni mlevi ,mzinzi anaona uislamu utakuwa mgumu kwake.Fundi Seremala alikuwa dini gani ?
Tafakari kabla kuchafua hewa.
Tupe miongozo ili tuweze kuabudu kama Waafrika wa kale😬😬😬Wakristo na waislam
wote hamjielewi
wafia dini wote ni wa hovyo.
mmeua uafrika kisa mambo yenu ya ajabu
mnakera
Ungekuwa unaujua Uislam usingeandika hivi. Elimu haina mwenyewe. "Juma wa Songea" anaweza kusoma na kuifahamu dini vizuri na akawafundisha waarabu. Hili jambo huwa naliandika sana humu. Kuna wanachuoni wakubwa wa kiislam ambao ni waafrika na wakiwasomesha waarabu dini. Tena sio dini tu, kuna waafrika wanawasomesha waarabu lugha ya kiarabu huko arabuni. Hii ni ajabu ya elimu.Juma wa Songea anajifanya kumjua Muhammad kuliko hata ndugu zake wa karibu. Stupid
Same stupid thingUngekuwa unaujua Uislam usingeandika hivi. Elimu haina mwenyewe. "Juma wa Songea" anaweza kusoma na kuifahamu dini vizuri na akawafundisha waarabu. Hili jambo huwa naliandika sana humu. Kuna wanachuoni wakubwa wa kiislam ambao ni waafrika na wakiwasomesha waarabu dini. Tena sio dini tu, kuna waafrika wanawasomesha waarabu lugha ya kiarabu huko arabuni. Hii ni ajabu ya elimu.
Na kwa taarifa yako kuna wanachuoni wengi wakubwa sana wa kiislam na wa lugha (ya Kiarabu) ambao hawakuwa waarabu.
Ubaguzi ni hulka ya binadamu wote duniani, hii inatokana na ubinafsi kujiona yeye ni bora kuliko mwingine. Atakubagua kwa rangi yako, kwa kabila, kwa dini na vitu vingine km hivyo. Baba wa Taif mwl. Nyerere alituasa ubaguzi ni sawa na kula nyama ya binadamu mwenzako kuelezea ubaya wa ubaguzi. Alisema wewe hata km ni mweusi km una tabia za ubaguzi ni kaburu tu. Tuache ubaguzi kwa msingi wowote ule.Mimi nashangaa sana, eti mtu anamchukia mwenzake kwasababu ya imani, na niwe mkweli wala siyo kwasababu ya udini, nyie wenzetu waislam mna chuki sana.