Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,724
ww unaishi wpi?
Mimi nafikiri CCM siyo chama cha Kidini kwani kinakumbatia watu wa dini mbalimbali hapa nchini na kwa miaka mingi kimeongozwa na watu wa dini mchanganyiko. Mifano imekwishatolewa! Kama kuna wakati chama kinakuwa na watu (viongozi) wengi wa dini fulani ni suala la coincidence tu katika historia ya nchi. Si kwamba ni kitu kilipangwa rasmi. Kama kwa sasa viongozi wengi ni waislamu ni kwa sababu una uwezo, walichangamkia nafasi kihalali na kuchaguliwa na wananchi kwa utaratibu wa sheria. Sasa udini uko wapi hapa? Kama watu wa dini zingine hawakujitokeza, na kama walijitokeza hawakuwa na uwezo (ndo mana hawakuchaguliwa) ni kosa la nani?? Utasema udini?JAMANI NISAIDIENI CCM NI CHAMA CHA KIDINI?
MWNYEKITI WAKE NI MWISLAMU PAMOJA NA KATIBU WAKE
MWENYEKITI WA UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA NI MWISLAMU
MWENYEKITI WA UMOJA WA VIJANA NI MWISLAMU
MWENYEKITI WA JUMHIA YA WAZAZI CCM NI MWISLAMU
Tuseme ndani ya chama hiki wakristo hawana uwezo hapa pana ajenda ya siri
Ndugu, jaribu kuwa mwungwana! unaonekana una jazba sana. Wote humu tukianza kutumia lugha hii ya matusi sijui tutajadiliana nini! Jaribu kutawala hasira. Ndio ukomavu wenyewe! uwe mkali kwenye hoja, siyo kwa matusi. Tusigeuze uwanja huu kuwa uwanja wa matusi na chaos. Tutapoteza lengo lake. Tuvumiliane.
Wee vipi? Umeingiwa na nini? Mungu ibariki Tanzania huku unatukana? Amani iko wapi hapo? Mbona hoja zako tu ni nzuri tena zina uzito. Kwa nini unakuwa mkali hivo? Pole sana. Basi endelea bwana!Jazba i think its strong word sio jazba mawazo ya kurudi nyuma ndio yana kera kwa sababu tumekua na amani tu atujui matatizo yanayotokana na ujinga wa mawazo yaani beliefs ambazo azileti faida yoyote muslim or christian is not an issue for me. dont be fooled by the Juma in contena that is an alias only, in reality i have a christian father or he is supposed to be. at the moment i do believe in god for some reason but i do question his existence in other occassions.
but my belief should remain to me and not try and raise issues that serves no purpose off the goals you claim you want to achieve. we have never had religous trouble before remember, its Mwinyi's government that dealt in brutal way all those extremist muslim who started vandalizing buthchers that stocked pork in Magomeni.
its not the post im looking at but its his way of thinking that distinguishes what is fair and what aint, it means he already has criteria or a distinguished ideology of who he is, thats why the idea off having muslim members on that administration to him dont save fairness to him. this is what provoked me because distinguishing on grounds of criteria is danger very dangerous either religion, tribal or any thing that says us and them. he just looked at the current administration and pointed out the Muslim members and decided it was a part of Muslim, which is far from the truth, but just moaning on the grounds of his ideology which has 'us' and 'them' already on his sick head. believe me i'll never apoligize there ni MPUMBAVU WA MWISHO
MUngu Ibariki Tanznania
Wee vipi? Umeingiwa na nini? Mungu ibariki Tanzania huku unatukana? Amani iko wapi hapo? Mbona hoja zako tu ni nzuri tena zina uzito. Kwa nini unakuwa mkali hivo? Pole sana. Basi endelea bwana!
Jazba i think its strong word sio jazba mawazo ya kurudi nyuma ndio yana kera kwa sababu tumekua na amani tu atujui matatizo yanayotokana na ujinga wa mawazo yaani beliefs ambazo azileti faida yoyote muslim or christian is not an issue for me. dont be fooled by the Juma in contena that is an alias only, in reality i have a christian father or he is supposed to be. at the moment i do believe in god for some reason but i do question his existence in other occassions.
but my belief should remain to me and not try and raise issues that serves no purpose off the goals you claim you want to achieve. we have never had religous trouble before remember, its Mwinyi's government that dealt in brutal way all those extremist muslim who started vandalizing buthchers that stocked pork in Magomeni.
its not the post im looking at but its his way of thinking that distinguishes what is fair and what aint, it means he already has criteria or a distinguished ideology of who he is, thats why the idea off having muslim members on that administration to him dont save fairness. this is what provoked me because distinguishing on grounds of criteria is danger very dangerous either religion, tribal or any thing that says us and them. he just looked at the current administration and pointed out the Muslim members and decided it was a part of Muslim, which is far from the truth, but just moaning on the grounds of his ideology which has 'us' and 'them' already on his sick head. believe me i'll never apoligize there ni MPUMBAVU WA MWISHO
MUngu Ibariki Tanznania
ww unaishi wpi?
HAPANA mkuu mimi sio mdini bali nilihitaji kujua inakuwaje chama kinakuwa na viongozi ambao wanatoka upande mmoja wadini.ninazo AKILI TIMAMU,hivi mtu akitaka kujua jambo flani hivi ni kwamba ni hana akili timamu?Inaelekea Josm ni mdini na ni wale wachache wanaochukia wenzao kwa ajili ya itikadi zao za dini,Ungekuwa na akili timamu, na ungekuwa sio mdini basi ungeanza kufikiria structure ya CCM kuanzia 1961 hadi leo hii, na mengi au kila kitu waliofanyiwa Waislamu na CCM, Nna pia waliofanyiwa Wakristo na CCM, then after great analysis ndio ungekuja hapa na huo upotofu wako.
Wao sisi m. walipokuja na hoja ya kuwa kafu ni chama cha kidini je, mbona hapo wote mlikuwa kimya na kukubaliana nao? Wao walitumia vigezo vipi kuhubiri nchini hapa kuwa chama cha kafu ni cha kidini?Mimi nafikiri CCM siyo chama cha Kidini kwani kinakumbatia watu wa dini mbalimbali hapa nchini na kwa miaka mingi kimeongozwa na watu wa dini mchanganyiko. Mifano imekwishatolewa! Kama kuna wakati chama kinakuwa na watu (viongozi) wengi wa dini fulani ni suala la coincidence tu katika historia ya nchi. Si kwamba ni kitu kilipangwa rasmi. Kama kwa sasa viongozi wengi ni waislamu ni kwa sababu una uwezo, walichangamkia nafasi kihalali na kuchaguliwa na wananchi kwa utaratibu wa sheria. Sasa udini uko wapi hapa? Kama watu wa dini zingine hawakujitokeza, na kama walijitokeza hawakuwa na uwezo (ndo mana hawakuchaguliwa) ni kosa la nani?? Utasema udini?
Halafu suala si dini, suala ni Uongozi (utawala) bora ndiyo tunaohitaji. Awe Muislamua au Mkristo anapaswa kutenda kazi kwa MUJIBU WA KATIBA na sheria zingine halali za nchi na kuhudumia watu wote BILA UBAGUZI kwani lengo la uongozi wa nchi ni kuleta MAISHA BORA kwa kila mtanzania. Hapa watawala hawaendi kuhubiri dini zao bali kutuelekeza kwenye maisha bora.
Jazba i think its strong word sio jazba mawazo ya kurudi nyuma ndio yana kera kwa sababu tumekua na amani tu atujui matatizo yanayotokana na ujinga wa mawazo yaani beliefs ambazo azileti faida yoyote muslim or christian is not an issue for me. dont be fooled by the Juma in contena that is an alias only, in reality i have a christian father or he is supposed to be. at the moment i do believe in god for some reason but i do question his existence in other occassions.
but my belief should remain to me and not try and raise issues that serves no purpose off the goals you claim you want to achieve. we have never had religous trouble before remember, its Mwinyi's government that dealt in brutal way all those extremist muslim who started vandalizing buthchers that stocked pork in Magomeni.
its not the post im looking at but its his way of thinking that distinguishes what is fair and what aint, it means he already has criteria or a distinguished ideology of who he is, thats why the idea off having muslim members on that administration to him dont save fairness. this is what provoked me because distinguishing on grounds of criteria is danger very dangerous either religion, tribal or any thing that says us and them. he just looked at the current administration and pointed out the Muslim members and decided it was a part of Muslim, which is far from the truth, but just moaning on the grounds of his ideology which has 'us' and 'them' already on his sick head. believe me i'll never apoligize there ni MPUMBAVU WA MWISHO
MUngu Ibariki Tanznania
Una uhakika CUF inapungua nguvu? au ni muono wako? hebu mwaga data kuthibitisha hilo.panya akitaka jina hujipitisha pitisha!!!
panya huyoo !! panya huyoo !! tutasema kwa nguvu...na yeye atafurahi...
.....MWAKA 2005...cuf walipigiwa kelele sana ....!!!.. OOH CUF WADINI ,,..CUF WADINI...Kumbe wapi bwana siasa ..tu ...
Wasomi jiulizeni kwa nini CUF inaonekana kupungua nguvu????
i AM OUT!!
CCM chama za kidini(uislamu) ndio maana mie niko CUF
sensa ya mwaka gani??
Wao sisi m. walipokuja na hoja ya kuwa kafu ni chama cha kidini je, mbona hapo wote mlikuwa kimya na kukubaliana nao? Wao walitumia vigezo vipi kuhubiri nchini hapa kuwa chama cha kafu ni cha kidini?
Msifanye kwamba hatuna kumbukumbu maana hata kesi walizifungua mahakamani sasa leo tu mmeshasahau na mnakuja na bla bla?
JAMANI NISAIDIENI CCM NI CHAMA CHA KIDINI?
MWNYEKITI WAKE NI MWISLAMU PAMOJA NA KATIBU WAKE
MWENYEKITI WA UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA NI MWISLAMU
MWENYEKITI WA UMOJA WA VIJANA NI MWISLAMU
MWENYEKITI WA JUMHIA YA WAZAZI CCM NI MWISLAMU
Tuseme ndani ya chama hiki wakristo hawana uwezo hapa pana ajenda ya siri
Historically, Hiki chama kilianzishwa na Waislam wakina Julies Nyerere walitwa tu baadae, Na ndio hao waislam walioanzisha freedom movementsna isitoshe wako majority hapa nchini, kwamaana hiyo wanastaili kuwa wengI kwenye vyama na pia kwenye Serikali.
Swali ni kwanini wako wachache serikalini? Sio kwanini wako wengi CCM au CUF. Tungekua na equal opportunity hapa nchini ingebidi wawepo wengi kila sehemu
Hawa ndugu zangu wana matatizo sana,wao wanapenda kujenga hoja zao ambazo ni za kibaguzi zikilenga kundi jingine,unapo toa hoja juu yao na ikawashika wanashindwa kujibu na wanaishia kutukana badala ya kujubu hoja.Kuna barua moja iliandikwa na badhi ya watu toka CCM kwenda kwa rais wa wakati huo Mjomba Ben ikidai kuwa mbona kwenye uongozi wa juu wa CCM kumejaa wakiristo.
Hao viongozi wanaotajwa kuwa ni waislamu ni waislamu kwa kweli kwani wao wanajijua kuwa ni waislamu na jamii inawajua hivyo kwani wanaishi uislamu na ibada zake wanazishika barabara. Wewe peke yako humu kwenye mjadala unakataa kwamba hao si waislamu. Nikuulize: kwako Mwislamu ni mtu wa aina gani mpaka uwaone hawa si waislamu?kwani nyerere alitokea wapi?
mie namkumbuka nyerere aLIJIFANYA muislam naye na kutoa salm aleikum
historia fupi alikuja kusoma na kutoka kwao na baadaye alipopata wenyeji alisilim na kuwa muislam na baadaye akarudi ukatoloki.
watoto watabishana hapo lakini wakawaulize babu zao
kwani historia sio kitabu cha zenj karume kazaliwa mwera.
hata yesu basi baba hajulikani lakini mama anajulikana maryam
ndio akaitwa issa bin maryam.
lakini namsif baba wa t. aliwaleta wazee wake wote. akawanunulia shamba.
kama viongozi wa smz waliponunua mashamba wakasema hapa ni asili yao wakati wakiwa hawana wazee.
hata mukiwaona waislam wamewekwa basi hao ni watumwa wa wawakiristo
lakini jamaa zetu wamejawa na kasumba ndio kukawa na makundi tele. lakini wote wakiristo
hata mzee wa ruhsa naye mkiristo