Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,907
- 1,081
JAMANI NISAIDIENI CCM NI CHAMA CHA KIDINI?
MWNYEKITI WAKE NI MWISLAMU PAMOJA NA KATIBU WAKE
MWENYEKITI WA UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA NI MWISLAMU
MWENYEKITI WA UMOJA WA VIJANA NI MWISLAMU
MWENYEKITI WA JUMHIA YA WAZAZI CCM NI MWISLAMU
Tuseme ndani ya chama hiki wakristo hawana uwezo hapa pana ajenda ya siri
JAMANI NISAIDIENI CCM NI CHAMA CHA KIDINI?
MWNYEKITI WAKE NI MWISLAMU PAMOJA NA KATIBU WAKE
MWENYEKITI WA UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA NI MWISLAMU
MWENYEKITI WA UMOJA WA VIJANA NI MWISLAMU
MWENYEKITI WA JUMHIA YA WAZAZI CCM NI MWISLAMU
Tuseme ndani ya chama hiki wakristo hawana uwezo hapa pana ajenda ya siri
yaani wewe ndio mpumbavu wa mwisho kabisa dini inausiana na nini leo Tanznania ebu nenda kaangaike sio kuandika ujinga ujinga tu mjinga wa mwisho kabisa mijitu mingine watu kama nyie amko mbali na ukabila vile vile na mawazo yenu ya wapi sijui ingekua sehemu nyingine yeyote ninge kutu*i.
Mbona umesahau katibu mkuu wa UMOJA WA WANAWAKE aliyeteuliwa hivi karibun HASNAT MWILIMA mwislam
MEYA WA JIJI- ADAM KIMBISA NI MWISLAM
MSAIDIZI MEYA-AHMED MWILIMA NI MWISLAM
Wakuu wa kazi habari
naomba mchukue hii kama joke maana hamkawii watu kuanza kupeana madua mabaya.
CCM stand for = CATHOLICS CHURCH MOVEMENT hivyo watuwote ndani ya chama hicho bila kujijua ni wakristo tena wa dhehebu la KATOLIKI.
kama unaduku duku details muhimu nitakupatia
MCHANA INZI USIKU MBU HAKUNA KULALA
Mkuu,
Hayo mambo ya CCM ni wana-CCM wenyewe, kama wao hawasemi iweje uwasemee? Na endapo wewe ni mwanachama wa CCM basi unajua wapi kwa kuyapeleka malalamiko yako.
Mimi sioni tatizo katika hoja yako kwani hapo awali ilikuwa hivi na mambo yalikuwa kama kawaida.
In short CCM si msikiti tukaanza kutafuta Imam au si kanisa tukatafuta Mchungaji.
Kukusaidia zaidi, Mh Sofia Simba si mwislam kama unavyodai
Hata hivyo hapo awali ilikuwa hivi:
MWNYEKITI WAKE NI Benjamin PAMOJA NA KATIBU WAKE Phillip
Makamu Mwenyekiti Bara: John
MWENYEKITI WA UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA NI MWISLAMU Anna
MWENYEKITI WA UMOJA WA VIJANA NI MWISLAMU Emmanuel
MWENYEKITI WA JUMHIA YA WAZAZI CCM NI MWISLAMU Abihud
mkuu vipi hueshimu mawazo ya mwenzako?kurupu na mapovu yako mdomoni.This is JF mkuu..where we dare...
Ndugu, jaribu kuwa mwungwana! unaonekana una jazba sana. Wote humu tukianza kutumia lugha hii ya matusi sijui tutajadiliana nini! Jaribu kutawala hasira. Ndio ukomavu wenyewe! uwe mkali kwenye hoja, siyo kwa matusi. Tusigeuze uwanja huu kuwa uwanja wa matusi na chaos. Tutapoteza lengo lake. Tuvumiliane.yaani wewe ndio mpumbavu wa mwisho kabisa dini inausiana na nini leo Tanznania ebu nenda kaangaike sio kuandika ujinga ujinga tu mjinga wa mwisho kabisa mijitu mingine watu kama nyie amko mbali na ukabila vile vile na mawazo yenu ya wapi sijui ingekua sehemu nyingine yeyote ninge kutu*i.
Historically, Hiki chama kilianzishwa na Waislam wakina Julies Nyerere walitwa tu baadae, Na ndio hao waislam walioanzisha freedom movementsna isitoshe wako majority hapa nchini, kwamaana hiyo wanastaili kuwa wengI kwenye vyama na pia kwenye Serikali.
Swali ni kwanini wako wachache serikalini? Sio kwanini wako wengi CCM au CUF. Tungekua na equal opportunity hapa nchini ingebidi wawepo wengi kila sehemu
ww unaishi wpi?sensa ya mwaka gani??
Makafiri hawaishi hila. Wanazibadilisha tu.