hili sio swala la kujadili kwasababu ukweli uko wazi. jamaa ni mdini mzuri sana na agenda yake kubwa ni kuwawweka watu wake zaidi wakristo. sasa, ataweza? kwasababu wasomi walio wengi ni wakristo; angejaribu kuaddress tatizo kwa kuwapendelea waende shule, ili wawe wasomi wengi hapo ndo ingekuwa kusolve matatizo. hata hivyo asingeweza kwasababu shule zinazomilikiwa na wakristo ni nyingi mno, na nyingine zinasomesha wakristo bure. hasa hizo za seminari nk. kuna wafadhili wengi wa ujerumani na marekani mfano hapa kilimanjaro na maeneo mengine wanawapiga tafu sana wakristo. waislam wana shule chache na vyuo vichache wakati wao ni wengi. kwasababu wengi wao hawajasoma, maisha yao walio wengi ni ya kiswahili, ya kupata na kutumia yaani mfuko kwa mdomo, hakuna ziada ya kuwapeleka watoto shule au kufanya maendeleo mengine. pia waislam wanakuwa na watoto wengi mno kwa wake wengi kiasi kwamba wanashindwa kuwasomesha au kuwapa mahitaji ya kielimu, hivyo siku zote watabaki nyuma pamoja na kwamba ndio wengi kiidadi. kama udini huo unaendelea, wanajilisha upepo, hawatafika popote, wangefanya hivyo kuwa uzazi wa mpango, ili tupunguze watoto wao wapiga debe magomeni na buguruni, tupunguze wauza samaki wa kizaramo na wavuta bangi. wale wapiga debe walio wengi wangekuwa wameenda shule. kalaga baho.